Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Uko mjini wazazi wako hasa Maza wako yuko kijijini na maisha yanakuswaga kila siku?
Mpigie simu maza wako muulize mama una chakula ndani?
Muulize mama umekula nini leo?
Muulize hayo maswali mawili halafu uone maisha ya mama yako yalivyo huko kijijini.
Halafu fanya maamuzi magumu, angalia ni nini ufanye kitakachogusa moyo wake.
Utanishukuru.
Utakapokuwa vizuri siku nyingine muulize unahitaji nikufanyie nini?