Wewe ambaye maisha yanakutandika mjini chukua hii password

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Uko mjini wazazi wako hasa Maza wako yuko kijijini na maisha yanakuswaga kila siku?

Mpigie simu maza wako muulize mama una chakula ndani?

Muulize mama umekula nini leo?

Muulize hayo maswali mawili halafu uone maisha ya mama yako yalivyo huko kijijini.

Halafu fanya maamuzi magumu, angalia ni nini ufanye kitakachogusa moyo wake.

Utanishukuru.

Utakapokuwa vizuri siku nyingine muulize unahitaji nikufanyie nini?
 
Kwahiyo baba hana msaada au?
 
Je baba hana haja ya kuulizwa?
 
mhii
 
Kwako mama ndiye kila kitu vipi kuhusu baba? Ubinafsi kwanza sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…