Nimekuja hapo majira ya saa sita kufuatilia michango yangu.
Kutokana na mazungumzo yetu hapo, kicheko chako na tabasamu tamu ulilonionyesha vyote kwa ujumla vikanifanya nikuombe namba ila ukakataa kwa madai bosi wako anatutazama.
Nikakuuliza unatoka saa ngapi ili nikusubiri ndio kabisaa ukazidisha kicheko huku ukitikisa kichwa kuashiria hutaki (jamani), nikaamua kutoka ili wengine wapate huduma.
Kama uko humu hebu kuja pm tafadhali tuyajenge.
Hahahaha duh hatari sana mkuu, ngoja nisubiri pm yake kwanza ikishindikana kesho mimi nipo pale hata kama sitanunua hayo magazeti yote nitanunua nusu yake hahhahakaka wewe huna nina na huyo, wenzio wanaendaga kununua magazeti yoote kupotezea muda UHURU, TANZANITE, RAI, KICHEKO, KIU, DIMBA, THE GUARDIAN wanakaa nje ya mlango wanasomaga mpaka muda wakutoka utampata! na utakuta
T-shirtHahahha nilivaa shati ama tshirt?
Jibu hilo kabla hujaja pm
Aisee, polisi hivi vitu hakuna loh
Ucjal Mimi hapa nakuja saa ile nliogopa boss anatuona
Labour emotion ya polisi inakufanya ujione kana kwamba huna thamani vile unavyokuwa badly treated.aahahahaahh, hata polisi unaweza kwenda ukamkuta mrembo, lakini akawa mkali sana, yaano tuu hashi, pia hapo ujue ni LABOUR EMOTION, niki maanisha ni mazingira ya kazi yanayomfanya umuone kama ulivyomuona.
Kwa mfano huyo dada unayesema alikuchekea itakuwa ni mazingira ya kazi yake yanampasa acheke hivyo kwa mteja wake awe mchangamfu.
Kama wanavyofanya wahudumu wa kwenye ndege... hahahahahahhahahaLabour emotion ya polisi inakufanya ujione kana kwamba huna thamani vile unavyokuwa badly treated.
Lakini kwingine unarembuliwa, unatabasamiwa, unachekewa hata kama haumkuli lakin kamoyo kanafarijika.