Wewe dada wa PPF hapo kwenye jengo la PSPF (posta) ninahitaji namba yako seriously.

mapipando

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
2,922
Reaction score
3,559
Nimekuja hapo majira ya saa sita kufuatilia michango yangu.

Kutokana na mazungumzo yetu hapo, kicheko chako na tabasamu tamu ulilonionyesha vyote kwa ujumla vikanifanya nikuombe namba ila ukakataa kwa madai bosi wako anatutazama huku ukiiangalia cctv camera kwa jicho la kuibia tena la kurembua.

Nikakuuliza unatoka saa ngapi ili nikusubiri ndio kabisaa ukazidisha kicheko huku ukitikisa kichwa kuashiria hutaki (jamani), nikaamua kutoka ili wengine wapate huduma.

Kama uko humu hebu kuja pm tafadhali tuyajenge.
 
Ucjal Mimi hapa nakuja saa ile nliogopa boss anatuona
 
Nimekuja hapo majira ya saa sita kufuatilia michango yangu.

Kutokana na mazungumzo yetu hapo, kicheko chako na tabasamu tamu ulilonionyesha vyote kwa ujumla vikanifanya nikuombe namba ila ukakataa kwa madai bosi wako anatutazama.

Nikakuuliza unatoka saa ngapi ili nikusubiri ndio kabisaa ukazidisha kicheko huku ukitikisa kichwa kuashiria hutaki (jamani), nikaamua kutoka ili wengine wapate huduma.

Kama uko humu hebu kuja pm tafadhali tuyajenge.

kaka wewe huna nina na huyo, wenzio wanaendaga kununua magazeti yoote kupotezea muda UHURU, TANZANITE, RAI, KICHEKO, KIU, DIMBA, THE GUARDIAN wanakaa nje ya mlango wanasomaga mpaka muda wakutoka utampata! na utakuta
 
Hahahaha duh hatari sana mkuu, ngoja nisubiri pm yake kwanza ikishindikana kesho mimi nipo pale hata kama sitanunua hayo magazeti yote nitanunua nusu yake hahhaha
 
aahahahaahh, hata polisi unaweza kwenda ukamkuta mrembo, lakini akawa mkali sana, yaano tuu hashi, pia hapo ujue ni LABOUR EMOTION, niki maanisha ni mazingira ya kazi yanayomfanya umuone kama ulivyomuona.
Kwa mfano huyo dada unayesema alikuchekea itakuwa ni mazingira ya kazi yake yanampasa acheke hivyo kwa mteja wake awe mchangamfu.
Aisee, polisi hivi vitu hakuna loh
 
aahahahaahh, hata polisi unaweza kwenda ukamkuta mrembo, lakini akawa mkali sana, yaano tuu hashi, pia hapo ujue ni LABOUR EMOTION, niki maanisha ni mazingira ya kazi yanayomfanya umuone kama ulivyomuona.
Kwa mfano huyo dada unayesema alikuchekea itakuwa ni mazingira ya kazi yake yanampasa acheke hivyo kwa mteja wake awe mchangamfu.
Labour emotion ya polisi inakufanya ujione kana kwamba huna thamani vile unavyokuwa badly treated.
Lakini kwingine unarembuliwa, unatabasamiwa, unachekewa hata kama haumkuli lakin kamoyo kanafarijika.
 
Kama wanavyofanya wahudumu wa kwenye ndege... hahahahahahhahaha
 
Back
Top Bottom