mapipando
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,922
- 3,559
Nimekuja hapo majira ya saa sita kufuatilia michango yangu.
Kutokana na mazungumzo yetu hapo, kicheko chako na tabasamu tamu ulilonionyesha vyote kwa ujumla vikanifanya nikuombe namba ila ukakataa kwa madai bosi wako anatutazama huku ukiiangalia cctv camera kwa jicho la kuibia tena la kurembua.
Nikakuuliza unatoka saa ngapi ili nikusubiri ndio kabisaa ukazidisha kicheko huku ukitikisa kichwa kuashiria hutaki (jamani), nikaamua kutoka ili wengine wapate huduma.
Kama uko humu hebu kuja pm tafadhali tuyajenge.