Wewe dada wewe niliyekuona kwenye mwendokasi leo


Watu wenye sifa kama hizo nilizotaja ni wachache mno
 
Leo kila mtu anajidai anajua kutongoza humu. Mimi ni mmoja wa watu ambao ni ngumu sana kutongoza stranger in public transport,places. Kwa thread hii nimejijua ni domo zege.
Mi pia siwezi ila nikimuelewa kama jamaa alivyomuelewa huyo bibie nitajikakamua walau nitoe salamu,wanasema salamu haitii mimba,ikishindikana basi napotezea,sasa huyu anapokea mzigo wa lawama hapa sababu alishindwa kumpa hata salamu,alafu badala ya kupotezea anakuja kubeti humu.

Nimegundua mtu atakayefungua workshop ya kufundishaa kutongoza,au kufanya private coaching atapiga hela sana.

Mie kwenye safari fupi siwezi ila safari ndefu nikakaa na totoz huwa simuachi salama nacheza kama pele.
 
Mimi ni domo zege. Kama ningekuwa napanda nae bus kila asubuhi au jioni huyo tena sio total stranger naweza kumtokea kirahisi tu. Ila wa kumuona leo NO. Nawaona wengi si nitakuwa na kazi ya kuomba namba kila siku....maanake kila siku kila niendapo nakutana na watoto wazuri sana.
 
True.Sasa kuna wengine wanavipaji hivyo,hawana mshipa wa aibu,anakutana naye leoleo na atamsimamisha na kuomba namba,watu wa dizaini hyo huwa hawaogopi kukataliwa,huwa wanacheza na probability akisimamisha 10 hawezi kosa mmoja atakaye ingia kingi,na wanawake kama unavyowajua wanahuruma.
 
Ni kweli. Nilikuwa hivyo in my early 20s. Sasa hivi siko hivyo. Kadiri umri unavyosogea na uwezo wa kujilipua(taking risk) kwenye vitu vingi unapungua.
 
Tupia picha...
Vipi alikuwa na hips na makalio makubwa?
 
Umekosea sana kutokuomba mawasiliano yake.....maana ingekurahisishia kuonana nae tena.....

Sasa imagine, unaanzaje kumuona sasa hapa....labda muujiza utokee umuone tena kwa mara nyingine ila kiukweli umeboogy meen.....

Ulitakiwa ujikaze umsalimie basi hata ungemfuatilia kwa nyuma mdogo mdogo ujue anakwenda wapi na umuone hata mtu atayeongea nae ili upate pa kuanzia....

Sasa utaanzia wapi kwa sasa na ameshasepa huyo binti
 
mkuu hadi leo bado haujakutana nae tena,next time jitege palepale na muda na siku ile ile utakutana nae tena niamini
 
Tutolee udomozege wako hapa.
Umemuacha kote huko unakujakulialia hapa.
Acha uboya.
 
Good...real man know how to appreciate something special.........! natural lady please come to this forum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…