Wewe dada wewe niliyekuona kwenye mwendokasi leo

Umeshindwa kumsimamisha hata akakupa namba kabisa,hutomuona tena huyo sahau.Usinambie na wewe mdomoni umejaza ubwabwa.
 
Huyo hata JF hajawahi isikia,anakaa hukoo Saranga na alimaliza la Saba D,Temboni Sekondari.
 
Domo zzzzzz in the building.
 
Nikajua mmeshuka vituo tofauti, kumbe kituo kimoja! Unawakilisha wanaume wa Dar
 
Teh teh kwa sifa hizo sidhani kama atakuwa hapa JF,

hatakama yupo sidhani kama atakuja kukuPm mwanamme usiye jiamini.

Jiamini kwanza mkuu.
 
Ajabu la nane la dunia
 
Bro utakua na shida ya udomo zege,, yani ukashindwa ata kumface kwenye eneo la tukio, dah
 
Wanaume wa Dar, walianza kuogopa panya road, sasa hivi wanaogopa wanawake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…