Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Wewe ndiyo unaesababisha kurudisha nyuma maendeleo ya Tanzania kwa ujinga kama huu
we sijui utakuwa mwanaume wa namna gani
we sijui utakuwa mwanaume wa namna gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume tunazidi kupungua.Tatizo wewe ni domo zege!
Kwahiyo umeshindwa kumuomba hata namba ili misifa yote hiyo umwagie japo kwa sms?
Umeshindwa kumsimamisha hata akakupa namba kabisa,hutomuona tena huyo sahau.Usinambie na wewe mdomoni umejaza ubwabwa.Lilikuwa ni basi la mwendokasi linalotokea ubungo kwenda kivukoni between saa 3 asubuhi mpaka kama saa 4 hivi
Ulikuwa umekaa kwenye moja ya seats za mbele ambazo unaangaliana na watu waliokaa upande wa pili.
Ulivaa ulivaa gauni lenye mistari ambayo imelala na sandals japo nashindwa kukumbuka rangi ya gauni lako.
Tumeshuka wote kituo kimoja ambacho ni MUNICIPAL COUNCIL(BANDARI) and while tunashuka mlangoni nilikuwa mbele yako.
Nimelazimika kuja kuandika hapa sababu tu ya jinsi nilivopagawa na muonekano wako. Upo natural sana hadi nimebaki tu na maswali kwamba nipo dar kweli au nimeingia wapi leo.
Nywele zako ni natural na ulizibana vizuri sana, Hujatoboa masikio, kucha zako za mikono na miguu umezikeep short hujazipaka rangi na ni safi and rangi ya ngozi yako ni nzuri na ni natural. You were very smart. Najiona nimekuwa blessed leo kwa kukuona vile ulivokuwa. I have aprreciated your appearance.
I was looking you all the journey from Urafiki to City Council ambapo tulishuka wote. I wish even to say hi to you.
Naamini kwamba unaweza ukapita huku. Please just come pm hata kama hautonipa namba yako its okey. But I have prepared something for you as appreciation for vile ulivokuwa.
I hope you won't refuse.
Thank you
hahaha [emoji23][emoji23][emoji23]Halafu alibeba mkoba wake mwenyewe mdogo mdogo hivi eeh..[emoji12][emoji12]
Domo zzzzzz in the building.Lilikuwa ni basi la mwendokasi linalotokea ubungo kwenda kivukoni between saa 3 asubuhi mpaka kama saa 4 hivi
Ulikuwa umekaa kwenye moja ya seats za mbele ambazo unaangaliana na watu waliokaa upande wa pili.
Ulivaa ulivaa gauni lenye mistari ambayo imelala na sandals japo nashindwa kukumbuka rangi ya gauni lako.
Tumeshuka wote kituo kimoja ambacho ni MUNICIPAL COUNCIL(BANDARI) and while tunashuka mlangoni nilikuwa mbele yako.
Nimelazimika kuja kuandika hapa sababu tu ya jinsi nilivopagawa na muonekano wako. Upo natural sana hadi nimebaki tu na maswali kwamba nipo dar kweli au nimeingia wapi leo.
Nywele zako ni natural na ulizibana vizuri sana, Hujatoboa masikio, kucha zako za mikono na miguu umezikeep short hujazipaka rangi na ni safi and rangi ya ngozi yako ni nzuri na ni natural. You were very smart. Najiona nimekuwa blessed leo kwa kukuona vile ulivokuwa. I have aprreciated your appearance.
I was looking you all the journey from Urafiki to City Council ambapo tulishuka wote. I wish even to say hi to you.
Naamini kwamba unaweza ukapita huku. Please just come pm hata kama hautonipa namba yako its okey. But I have prepared something for you as appreciation for vile ulivokuwa.
I hope you won't refuse.
Thank you
Umefurahi nn babe wangu[emoji23]hahaha [emoji23][emoji23][emoji23]
kumbe na ww ulikua kwenye mwendokasi babe![emoji3]Umefurahi nn babe wangu[emoji23]
kumbe na ww ulikua kwenye mwendokasi babe![emoji3]Umefurahi nn babe wangu[emoji23]
[emoji12][emoji12][emoji12]ee babe Leo nilienda kusali mjinikumbe na ww ulikua kwenye mwendokasi babe![emoji3]
Hii imetoka wapi Mkuu... Au ww ndo mhusika?? [emoji16]Halafu alibeba mkoba wake mwenyewe mdogo mdogo hivi eeh..[emoji12][emoji12]
Akaa!!!mm nilikuwa abiria tuu kama wengine[emoji16]Hii imetoka wapi Mkuu... Au ww ndo mhusika?? [emoji16]
Safari ya China inamhusu huyuKilikushinda nn kumwambia uko kwa mwendokasi unakuja kumlilia jf madomo zege wenzenu wanasomea huko china jinsi ya kutongoza