Wewe dada wewe niliyekuona kwenye mwendokasi leo

Anaye niogopa ndiyo mzuri tena ukimgundua hapo ndipo unaongeza mbwembwe na madoido[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
una uhakika gani kama uyo dada anatumia JF? ni vizuri ukamfata hapo hapo tu maana wanaoshuka vituoni ni wengi
 
Unasikitisha sana...

Umeshindwa kumwambia live, unakuja kulia kulia humu JF...


Cc: mahondaw
 
Hata mimi nimemuona si alipanda mwendokasi rangi ya blue?
 
Mkuu wewe ni mtu mzima, una miaka 30....tangu mwaka 1988 upo duniani, lkn huwezi kueleza hisia zako
 
Kilikushinda nn kumwambia uko kwa mwendokasi unakuja kumlilia jf madomo zege wenzenu wanasomea huko china jinsi ya kutongoza
Shikamoooooo
 
watoto kama hao hata whatsap wanakuwa hawaja-install, huku jf huwez mpata.
 
Wanaume wa dar shida tupu.unaweza kwenda kuloga kwamba hutongozwi kumbe watu hawajui kutongoza.ila sishangai kama China kutongoza imekuwa tatizo hadi wanaanzisha darasa je Tanzania tatizo litakuwa kiwango gani?
Janga la dunia hilo
 
Vp hujiamin mr jimmy??
Kuna mtu ili kutongoza dem lazma sku hyo aazime gari au awe na ela ndo atajiamin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…