ALAFU WEWE,Kilikushinda nn kumwambia uko kwa mwendokasi unakuja kumlilia jf madomo zege wenzenu wanasomea huko china jinsi ya kutongoza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ALAFU WEWE,Kilikushinda nn kumwambia uko kwa mwendokasi unakuja kumlilia jf madomo zege wenzenu wanasomea huko china jinsi ya kutongoza
MBONA NAKUPM HUJIBU??Wewe wasema....[emoji2]
Sijibu nn??MBONA NAKUPM HUJIBU??
Kwa iyo ulishindwa ata kumface kumpa hi? Naona unacheza betting
Mm apa finyango shikamoo nimekumissALAFU WEWE,
MARHABAA,NAKUMIS TOTOO,MBONA PM YAKO INANIFANYIA HIVI JAMANI??Mm apa finyango shikamoo nimekumiss
MARHABAA,NAKUMIS TOTOO,MBONA PM YAKO INANIFANYIA HIVI JAMANI??
Mkuu wewe ni mtu mzima, una miaka 30....tangu mwaka 1988 upo duniani, lkn huwezi kueleza hisia zakoLilikuwa ni basi la mwendokasi linalotokea ubungo kwenda kivukoni between saa 3 asubuhi mpaka kama saa 4 hivi
Ulikuwa umekaa kwenye moja ya seats za mbele ambazo unaangaliana na watu waliokaa upande wa pili.
Ulivaa ulivaa gauni lenye mistari ambayo imelala na sandals japo nashindwa kukumbuka rangi ya gauni lako.
Tumeshuka wote kituo kimoja ambacho ni MUNICIPAL COUNCIL(BANDARI) and while tunashuka mlangoni nilikuwa mbele yako.
Nimelazimika kuja kuandika hapa sababu tu ya jinsi nilivopagawa na muonekano wako. Upo natural sana hadi nimebaki tu na maswali kwamba nipo dar kweli au nimeingia wapi leo.
Nywele zako ni natural na ulizibana vizuri sana, Hujatoboa masikio, kucha zako za mikono na miguu umezikeep short hujazipaka rangi na ni safi and rangi ya ngozi yako ni nzuri na ni natural. You were very smart. Najiona nimekuwa blessed leo kwa kukuona vile ulivokuwa. I have aprreciated your appearance.
I was looking you all the journey from Urafiki to City Council ambapo tulishuka wote. I wish even to say hi to you.
Naamini kwamba unaweza ukapita huku. Please just come pm hata kama hautonipa namba yako its okey. But I have prepared something for you as appreciation for vile ulivokuwa.
I hope you won't refuse.
Thank you
ShikamooooooKilikushinda nn kumwambia uko kwa mwendokasi unakuja kumlilia jf madomo zege wenzenu wanasomea huko china jinsi ya kutongoza