Wewe dada wewe niliyekuona kwenye mwendokasi leo

We unaonekana ni domo zege sana. Mtu umepanda naye gari hadi ukashuka naye hujamsemsha unakuja kumtafuta huku JF
 
Siku nyingine kwa kuwa hatujui fate imekaaje kwako. Endapo utakutana tena naye. Usiogope, simama ghafula mbele yake; piga magoti, na kwa kingereza chako hicho hicho kibovu mwambie hivi; I LOVE YUUU! Usiseme kingine. Usimwambie aje PM au aende PM. Ukimwambie hilo, tiyari atakuwa wako.
Kutongoza hakuhitaji kiingereza. Hata kikurya atasikia tu. Unamsemesha kiingereza kwani ulisikia ni mzungu?
 
Imeshakula kwako hiyo "kilichbaki " nenda kwenye Uzi wa CHAPUTA."" ukatafute style ya kumpigia nyeto tu""..


hahaha kuna Jamaa kule huwa wanapiga CHAPUTA kwa style ya nzi "" I hope itakufaaa...
 
Aaaf wewe mchokoziiii, Ngoja na mie nikukimbize kwenye mwendo kasi subir tu
Leo tuu ndio nimepanda mwendokasi[emoji14][emoji12][emoji12]sijui utanipatia wapi tena narudi zangu kwenye daladala[emoji125][emoji125]
 
Tatizo wewe ni domo zege!

Kwahiyo umeshindwa kumuomba hata namba ili misifa yote hiyo umwagie japo kwa sms?
Hahahaa hamna kazi ngumu kama kuomba namba kwenye daladala mkuu.
Hata hivyo huyo jamaa kazidisha uoga hahahaha
 
Leo tuu ndio nimepanda mwendokasi[emoji14][emoji12][emoji12]sijui utanipatia wapi tena narudi zangu kwenye daladala[emoji125][emoji125]
Daaaah. Yaani umepanda mwendo kasi leo tu ukamchungulia mwenzako sasa wananchi wanataka kukulipizia wewe unarudi daladalani
 
JF Bhana mi nilifikiri watu wanaanza na kwanini kila mmoja amejikita kumpa lawama mtoa post si vizuri muwe wakarimu

Mnajuaje labda Jamaa ni BUBU je tuweni wastaarabu WAKUU

Ni hayo tu ..
Aiseeee""" eti bubu ....hahaaa"" yaaani sio kwa hii fasihi ""....
 
Wanaume wa siku hizi kwisha habari, na kibaya zaidi unaamini kuwa kila mtu yupo jf.
 
Kwa maelezo hayo, bila shaka ulikutana na jini aiseeeee.....[emoji53] [emoji53]
 
Acha udomo zege wewe
Btw kuna chuo kimefunguliwa huko China kinafundisha madomo zege kutongoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…