carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kilikushinda nn kumwambia uko kwa mwendokasi unakuja kumlilia jf madomo zege wenzenu wanasomea huko china jinsi ya kutongoza
Shikamoo shunie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kilikushinda nn kumwambia uko kwa mwendokasi unakuja kumlilia jf madomo zege wenzenu wanasomea huko china jinsi ya kutongoza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shikamoo shunie
Aaaf wewe mchokoziiii, Ngoja na mie nikukimbize kwenye mwendo kasi subir tuNilikuwa namuona tuu alivyomtolea mijicho mrembo wa watu,nusu nimwambie nikakuombee namba mzee mwenzangu[emoji16]
Ha hahaha hahaUsikute mwanamke mwenyewe hata JF haijui wala hajawahi kuisikia machozi ya samaki haya
Leo tuu ndio nimepanda mwendokasi[emoji14][emoji12][emoji12]sijui utanipatia wapi tena narudi zangu kwenye daladala[emoji125][emoji125]Aaaf wewe mchokoziiii, Ngoja na mie nikukimbize kwenye mwendo kasi subir tu
Hahahaa hamna kazi ngumu kama kuomba namba kwenye daladala mkuu.Tatizo wewe ni domo zege!
Kwahiyo umeshindwa kumuomba hata namba ili misifa yote hiyo umwagie japo kwa sms?
Haha has haaaUmeshindwa kumsimamisha hata akakupa namba kabisa,hutomuona tena huyo sahau.Usinambie na wewe mdomoni umejaza ubwabwa.
Daaaah. Yaani umepanda mwendo kasi leo tu ukamchungulia mwenzako sasa wananchi wanataka kukulipizia wewe unarudi daladalaniLeo tuu ndio nimepanda mwendokasi[emoji14][emoji12][emoji12]sijui utanipatia wapi tena narudi zangu kwenye daladala[emoji125][emoji125]
Aiseeee""" eti bubu ....hahaaa"" yaaani sio kwa hii fasihi ""....JF Bhana mi nilifikiri watu wanaanza na kwanini kila mmoja amejikita kumpa lawama mtoa post si vizuri muwe wakarimu
Mnajuaje labda Jamaa ni BUBU je tuweni wastaarabu WAKUU
Ni hayo tu ..
Eee,.wengine tuko kazini buanaa[emoji16]Daaaah. Yaani umepanda mwendo kasi leo tu ukamchungulia mwenzako sasa wananchi wanataka kukulipizia wewe unarudi daladalani
Wanaume wa siku hizi kwisha habari, na kibaya zaidi unaamini kuwa kila mtu yupo jf.Lilikuwa ni basi la mwendokasi linalotokea ubungo kwenda kivukoni between saa 3 asubuhi mpaka kama saa 4 hivi
Ulikuwa umekaa kwenye moja ya seats za mbele ambazo unaangaliana na watu waliokaa upande wa pili.
Ulivaa ulivaa gauni lenye mistari ambayo imelala na sandals japo nashindwa kukumbuka rangi ya gauni lako.
Tumeshuka wote kituo kimoja ambacho ni MUNICIPAL COUNCIL(BANDARI) and while tunashuka mlangoni nilikuwa mbele yako.
Nimelazimika kuja kuandika hapa sababu tu ya jinsi nilivopagawa na muonekano wako. Upo natural sana hadi nimebaki tu na maswali kwamba nipo dar kweli au nimeingia wapi leo.
Nywele zako ni natural na ulizibana vizuri sana, Hujatoboa masikio, kucha zako za mikono na miguu umezikeep short hujazipaka rangi na ni safi and rangi ya ngozi yako ni nzuri na ni natural. You were very smart. Najiona nimekuwa blessed leo kwa kukuona vile ulivokuwa. I have aprreciated your appearance.
I was looking you all the journey from Urafiki to City Council ambapo tulishuka wote. I wish even to say hi to you.
Naamini kwamba unaweza ukapita huku. Please just come pm hata kama hautonipa namba yako its okey. But I have prepared something for you as appreciation for vile ulivokuwa.
I hope you won't refuse.
Thank you
Mmmh,..namm ntengezee tafadhali..b'cards muhimu sana kwa maisha ya mjinimumu ....nimeshapewa tenda ya kutengeneza B ..cards "" abiria chunga mzigo wako
hahaaa unalipiza "" sawaa haina shidaMmmh,..namm ntengezee tafadhali..b'cards muhimu sana kwa maisha ya mjini