Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 344
- 926
Kama mkiwa wote unaongea tofauti na matendo ufanyao pindi akiwa hakuoni jua wewe ni muigizaji tu na uhalisia wako upo kwenye hayo matendo ukiwa mbali.
Wengi hutafuta KUAMINIKA kuoitia maneno yao ila uhalisia haupo hivyo na wewe ni yule ambaye unafanya yale ambayo huonekani mbele za anayekuamini.
Yawezekana siku zako arobaini hazijafika za kuumbuka ila jua wewe ndio huyo , ikitokea unawahukumu watu ambao wameuumbuka kwa matendo yako basi jua unafanya makosa kwa sababu hata wewe upo hivyo.
#fikia Ndoto Zako.