Wewe ishawahi kukukuta?

Wewe ishawahi kukukuta?

Watu nowday wanajifanya wasomi kila jambo wanatoa majibu kwa reference za elimu zao, mara utasikia mental illness mara huku schizophrenia mara pombe nyingi inasababisha mshipa wa ngiri una kazaa unakuwa unaona hallucinations na wale walipata vyeti kwa kukariri watamalizia kusema tafuta pesa na nyapu.

Lakini ndio hivyo tena! wahenga walisema asiyejua maana usimpe maana.
 
Sasa siungetuwekea hiyo picha hapa tukaiona? Unaandikia mate wakati wino hupo? Weee muongo!
Picha ni sisi wenyewe,hata hivo story za hivi Huwa zinaonekana ni sound kwa wasikilizaji, hotoamini mpaka ikutokee

Nilishaona mtu anakatisha barabarani nikiwa dereva alafu niliokaa nao nawaonesha wao hawaoni, Duniani hatupo peke etu we komaa na elimu Yako ya darasani, hallucinations ni trick ya kusoften mambo ambayo sayansi imeshindwa kudhibitisha, ingawa ipo ila si kwa Kila kionekacho ,vingine ni kweli
 
Nimewahi kupishana na mwanamke kajisitiri vizuri tu na ni mrembo vibaya tukatizamana,baada ya kunipita si nikageuka nione uumbaji wa Mungu eeh bwana yule dada sikumuona ajabu tulipokutana ni chocho ndefu huwezi kuchepuka popote nilicheka tu nikaendelea na safari..
Mpaka leo sijui ni nini kilitokea sikua nimetumia kilevi chochote ni mchana kweupe,haya mambo yapo.
 
Ingawa kuna watu watakebehi... Watasema shida ya akili au njaa... Hata mimi nilikuwa siamini ila yamenikuta
 
Back
Top Bottom