Waugwadu
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 484
- 854
Typical schizophrenia.Hallucinations
Google hallucinations
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Typical schizophrenia.Hallucinations
Google hallucinations
Tokea lini disco wanaingia na baibui mkuu!Alikuwepo sema mlikuwa mmelewa na wenge la Disco.
Picha ni sisi wenyewe,hata hivo story za hivi Huwa zinaonekana ni sound kwa wasikilizaji, hotoamini mpaka ikutokeeSasa siungetuwekea hiyo picha hapa tukaiona? Unaandikia mate wakati wino hupo? Weee muongo!
Una uhakika hukuvuta bangi hiyo siku?Nalala mwenyewe mkuu... Na milango nafungaga.... Ila kuna siku alinitembelea manzi ila hakulala aliondoka siku hiyo hiyo....
[emoji3][emoji3][emoji3] daaahNi mawenge tu ambayo hujitokeza ukiwa HUNA HELA YA KULA.
Ni dalili kubwa ya tatizo la Afya ya akili
Siku nyingine usiwe mzembe makaribishe unaweza kukupa chochote kitu.Nalala mwenyewe mkuu... Na milango nafungaga.... Ila kuna siku alinitembelea manzi ila hakulala aliondoka siku hiyo hiyo....
Ingawa kuna watu watakebehi... Watasema shida ya akili au njaa... Hata mimi nilikuwa siamini ila yamenikutaNimewahi kupishana na mwanamke kajisitiri vizuri tu na ni mrembo vibaya tukatizamana,baada ya kunipita si nikageuka nione uumbaji wa Mungu eeh bwana yule dada sikumuona ajabu tulipokutana ni chocho ndefu huwezi kuchepuka popote nilicheka tu nikaendelea na safari..
Mpaka leo sijui ni nini kilitokea sikua nimetumia kilevi chochote ni mchana kweupe,haya mambo yapo.
Hili tukio linanifanya niamini hatupo peke yetu kwenye hii Dunia...Ingawa kuna watu watakebehi... Watasema shida ya akili au njaa... Hata mimi nilikuwa siamini ila yamenikuta