dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,753
- 18,781
Nimeamua kuja kuandika ili kama ni msomaji wa JamiiForums basi utachukuwa hatua, mkeo amekusalia mtoto mzuri sana na mke pia ni mzuri ila unacho fanya kumsusia mkeo kisa ishu ndogo hivyo mnagombna basi ujue mke ana taabika sana, na usipo mrejeaa usitulaumu maan kazi unayo na pesa uanzo ila ni jeuri tu kumtelekeza dada wa watu,
Ni hivi fanya kutuma pesa za kumlea mwanao na kumuhudumia mkeo, mkeo wako anapitia majaribuni sana tunacho kifanya na mkeo mbele ya mtoto wako siyo sawa kabisa na chukia sana hiki kitendo
Kaz unayo nzuri tu na posh kibao unazo ila jeuri wako utakukost unless umeamuacha huyu mkeo mrembo
Nimemaliza sirudiii kuandika kama hujabadilika fedheea kwa mkeo