Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,367
- 11,604
Huenda ukawa ni wewe, ama ukawa hutaki kuwa wewe, let say jamaa yako (kwa ME) ama shosti wako (kwa KE), anafanya biashara gani inayomuwezesha kumudu familia? How such business is running? Changamoto je? Mtaji?
Tusaidizane mawazo kwa kuwa sisi sote tu watoto wa Mama mmoja, Mama yetu mpendwa. Nahitaji saaa kujiajiri kwa kuwa nimepata wazo la kuoa. Umri unakwenda sana, nisije kuwa kituko mtaani. Kazi niliyoajiriwa nahisi haina mshahara wa kutosha kuendesha watu zaidi ya mmoja
Maoni tafadhari...