Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,367
- 11,604
Trading for what mkuu, ama trading ina maana nyingine pasi na kufanya biashara?Trading
Hongera mkuu kwa kugeuza ndomu kuwa fursa adhimu.rafiki yangu hapa JF secretarybird nafanya hii kazi
View: https://www.instagram.com/reel/DKFgJAloNDE/?igsh=MThxb2NsaTg0YjFjbw==
Tunauza majenezaHuenda ukawa ni wewe, ama ukawa hutaki kuwa wewe, let say jamaa yako (kwa ME) ama shosti wako (kwa KE), anafanya biashara gani inayomuwezesha kumudu familia? How such business is running? Changamoto je? Mtaji?
Tusaidizane mawazo kwa kuwa sisi sote tu watoto wa Mama mmoja, Mama yetu mpendwa. Nahitaji saaa kujiajiri kwa kuwa nimepata wazo la kuoa. Umri unakwenda sana, nisije kuwa kituko mtaani. Kazi niliyoajiriwa nahisi haina mshahara wa kutosha kuendesha watu zaidi ya mmoja
Maoni tafadhari...
stadi za kazi hukusomaHongera mkuu kwa kugeuza ndomu kuwa fursa adhimu.
Nilisoma na nilikuwa mkali wa kuchora.stadi za kazi hukusoma