Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Anazima taaShem saa moja kuna kagiza jamani!!
Viache basi pale nitavikujia kesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anazima taaShem saa moja kuna kagiza jamani!!
Viache basi pale nitavikujia kesho
Asante sana jamani mkuu, mimi natumiaga mirinda nyeusi!
Kumbe muhandsome hivyo [emoji847]
NdiwooooooAmtaje tumsaidie
We unampenda pombe zaidi sitaki kuwekwa sub mimi.
Afu Corona na hiki kimvua full kujiquarantine siku tukitoka nje tuna mtoto anatembea[emoji3][emoji3]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Anazima taa
Hahah jirani si mimi eti!!Kumbe muhandsome hivyo [emoji847]
Awwwww
Ujue siongeagi uongo eeehhh
Ni wewe bwana wala usinibishie
Na umwambie kuwa najua ni yeye mimi nimetoa sifa zangu tuUjue siongeagi uongo eeehhh
Hahaha Dada najua wewe Uongo huuwezi kabisa!!Ujue siongeagi uongo eeehhh
Basi Jirani mie sibishi tena..Nashukuru kwa compliment!!Ni wewe bwana wala usinibishie
DuhKwa kipindi hiki ambacho tunaelekea kujilockdown kwa sababu ya gonjwa hili hatari
Namuomba huyu kaka aje pm tuzungumze namna ya kujilockdown kwa siku 21 hivi
Sifa za huyu kaka
1,Avatar yake ni nzuri inaeleweka
2,Jina lake hapa jf ni jina zuri mithili alivyo
3,Anacomment vizuri,hatukani,hatoi lugha za maudhi,anatoa ushauri mzuri
4,Anapenda kuchangia majukwa ya siasa na MMU na ana nyuzi chache sana
5,Comments zake nyingi anazifafanua kwa kisomi zaidi na hana mlengo mkali wa kisiasa,anamsopti jiwe na muda mwingine kumkosoa kupitia comments
Wewe kaka huwa nakuelewa sana,njoo Pm nitakufuata popote ulipo ili kujilockdown kwa siku 21 kama itapendeza
Wale ambao watataka kumfahamu,akisha comment nitalike comment yake,plz uje pm tuyajenge kipindi hiki cha #stay at home and lockdown#
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Sawa...Kumbukeni tu nimewamiss ndugu yenuNa umwambie kuwa najua ni yeye mimi nimetoa sifa zangu tu
Hii ndo comment.maisha yamekuwa magumu anatafutwa mtu wa kubebeshwa mzigo, pambana na hali yako tu mkuu[emoji28]