Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

Nipo upande wa huyo kaka kwa jambo moja tu...kukataa kupima

cutelove kupima sio jambo dogo eti,bora ingekuwa kupima malaria basi
kupima haukuna maana sababu siku ukikipata unachokitafuta hautarudia kupima tena
 
Mbona ndio wanawake mnapendaga
Uhh wee naallergy na suprises nsije nkadondoka bure
Ni fundisho kwa wale wanaume ambao unakuwa naye kwenye mahusiano bila kukwambia wanataka mahusiano ya kimapenzi
Hakuna fundisho hapo, wewe ndio unatakiwa ujifunze nyuki hazichokozwi una bahati umechokoza nyuki wa mashineni.
 
Kwani kuna ulazima wa kusex na mtu kama bado hamjawa karibu zaidi?
Ulimfatia nini sasa Mwanza hadi Dar. Au hujawahi kupanda mabasi ya kwenda mikoani ndio mtu anaina nafasi imejitokeza. Urafiki si mnajenga hata kwenye simu?? Fanya mawasiliano ya kuzoeana kwenye simu. Siku ikitokea umeenda Dar na mishe zako mpe taarifa mtaonana mtasalimiana na hawezi kukuwekea vikwazo au kukupangia vitu.

Sababu pa kufukia unapo, nauli umejileta mwenyewe kwa mishe zako na ya kuondoka unayo pia. Hasa mtoa mada hapa kaja safari ambayo kapangiwa na mtu na kaondoka bila kupenda. Maisha gani hayo.
 
[emoji8] fact
 
Sasa ww ulitaka usafiri 900km uende kumsalimie tu?..hamna haja ya kumfuata mtu wa jinsia tofauti umbali huo km huna hisia nae la sivyo inakuwa ni njaa tu.

Mtakuja kunyongwa
Hivi wanaume mbona mnapenda kuwakomesha wanawake ila ninyi hampendi wao wawakomeshe?

Wakati mwingine inatakiwa mkubali tu kukomeshwa mara moja moja khaa yaani kila kitu washindi muwe nyie tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…