Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nakujaje sasa kifwala kama mleta thread mpaka uamue kuja ni kwamba umekubaliana na kukulwa
Ndo hivyo ila huyo mwanaume aliyeshindwa kumlala ni version halisi za 'wanaume wa Dar' yaani mimi nikuite uje halafu unipe masharti !!!!

Nakuitia washikaji na wanakuliza na unarudi kwenu na majonzi.
 
Huu uzi kabla jua halijazama utakuwa ushafika kurasa nyingi tuu.

Mahaba matamu hakuna ambae hayapendi, hata wale wanaoyashabikia tuu pia wanayapenda sema hawajijui tuu hehehheheheheeee.

Siku bange zangu zikinikaa sawa ntaweka uzi wa PM za Kasie. Ila tuu nta hide ID, lengo si kumuanika mtu bali kufikirisha ubongo vile tunawaza hadi tunaandika na kutuma.
 
Yani mtu aache shughuli zake amfuate mtu mbali hivyo eti wasalimiane.

Mbona hakwenda kumsalimia mjomba wake kijijini
Ndo hivyo ila huyo mwanaume aliyeshindwa kumlala ni version halisi za 'wanaume wa Dar' yaani mimi nikuite uje halafu unipe masharti !!!!

Nakuitia washikaji na wanakuliza na unarudi kwenu na majonzi.
 
Pole sana dear. Wanaume wanadhani ukienda kwake basi umeshamkubali kabisa na uko tayari kumpa kila kitu.
Unaenda kwa mwanaume kufanya nini. Mwanaume anakuita kutoka Mwanza hadi Dar mje kupiga story.
Wanaume wenyewe hawa.
Whatsapp video call hamna!! Kama angetaka urafiki wa kawaida asingekuita toka Mwanza hadi Dar, urafiki wa kawaida huwa unaendelea hata kwenye simu tu.
 
Daah! Huyu baharia ni azonto kiwango cha petrol.Hakuwezaje kujua kwamba yote hayo yangempeperusha njiwa!

Hizo harakati ilitakiwa afanyie chumbani bila kuuliza,kwa sababu it doesnt make sense mtu atoke Mwanza aje Dar es Salaam et kukuona tu,huko whatsapp hamjaonana.
 
Huyo jamaa kafeli vibaya mno, mwanza to dar unagaramikia alafu unatoka kapa
Kanishangaza sana na mleta mada ananiuliza ningeanzia wapi kumbaka?? [emoji3] [emoji3] Serious hilo ni swali. Naanzia popote ili mradi niingie mwilini kwake.

Yeye kama anaanziwa kubakwa mbele mimi naanzia kanda ya kusini.

Wanaume tunapungua sana.
 
Unaenda kwa mwanaume kufanya nini. Mwanaume anakuita kutoka Mwanza hadi Dar mje kupiga story.
Wanaume wenyewe hawa.
Whatsapp video call hamna!! Kama angetaka urafiki wa kawaida asingekuita toka Mwanza hadi Dar, urafiki wa kawaida huwa unaendelea hata kwenye simu tu.
Well said mkuu jpili njema kwako
 
Unaenda kwa mwanaume kufanya nini. Mwanaume anakuita kutoka Mwanza hadi Dar mje kupiga story.
Wanaume wenyewe hawa.
Whatsapp video call hamna!! Kama angetaka urafiki wa kawaida asingekuita toka Mwanza hadi Dar, urafiki wa kawaida huwa unaendelea hata kwenye simu tu.
Kuna wanawake mna akili sana humu ila kuna wengine ni Vigagula wenyewe wanapelekwa na hisia. Sijui alikuwa hajawahi kupanda basi kwa muda mrefu.
 
Back
Top Bottom