Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

Naona mkimbiwaji amejibu tuhuma eeet ni kweli unataka kupewa mikoba ya uganga[emoji23][emoji23]
 
Hapo kuna kitu bimekibaini haraka za huyu ndugu zina maana zake,, Hisia zangu; pengine ni mgonjwa alitaka awahi kabla hujapoa ukijakupoa ushaliwa,, na lingine yaweza kuwa ni mume wa mtu hivyo alitaka aibe fasta kabla posho alopewa kazini haijaisha akarudi kwa mkewe na swala la kupima naamini kama hana kwa kupima basi anao kwa matemdo yake yaani hajatulia hivyo kumwambia akapime ghafla kiasi hicho ni presha za ku4c kwa kuwa hajatulia hajui ni majibu gani yatajitokeza,,,,, pole zangu zikufikie na hongera kwa ushindi katika shindano hilo ila wakati mwingine jiridhishe na mualiko kuwa una mlengo gani na uwe umejiandaa ki saikolojia ili kama huna uhakika na mwaliko achana nao Tahadhari sisi wanaume wa tz sio wazungu bwana tunasimamisha muda wowote halafu hatuna mazoea ya kuzoea mapaja jamani aliona akichelewa bajeti alokutengea itapungua na hana lengo jema na maisha yako!! Karibu sana Dar es salaam, mkuu!!!
 
Siku hizi mambo ndo hivi dada

Nimekubali I see
Vyuma vilivyokaza mwanza Dar times TWO.
Unasafuri unatua Dar unambembeleza mwanaume mkapime anagoma unalala unaamka unakata tiketi Uunarudi mwanza

Watu na hela zaoooo
 
Melo awasamehe bure kwa kumjazia server. Ila porojo zao ni Ardhi na Mbingu hata ukiconnect dots hupati cha kueleweka [emoji23][emoji23]
V.P akaamua kuconclude ID ni za mtu mmoja zinajichamba zenyewe .

Mambo meusiii kabisa haya
Hawamjazii server. Melo anapiga hela kwa vile mada hizi zinabamba mbaya. Huoni huu ulikofikia. Hapa tu Melo keshapiga hela ndefu sana ya matangazo. Ndo maana nyuzi hizi hazifutwi (kwa haraka) hata watu walalamike namna gani...
 
Hawamjazii server. Melo anapiga hela kwa vile mada hizi zinabamba mbaya. Huoni huu ulikofikia. Hapa tu Melo keshapiga hela ndefu sana ya matangazo. Ndo maana nyuzi hizi hazifutwi (kwa haraka) hata watu walalamike namna gani...
Kumbee🤔
Asante kwa kunifungua
 
cutelove,
Ngoja nipite taratibu humu.... Hivi unaanzaje kutoka Mwanza mpaka DSM? Tena kwaajili ya kufahamiana na mtu? Nimewaza kwa sauti.... Karibu DSM kwa vibamia 😂😂😂😂😂
 
Ila wanaume wanapogegeda wanawake na kuwaacha wako sahihi??
Sasa dada mpaka unatumiwa nauli umfuate dar bado tu hujajua nia yake kweli? Kama haukuwa tayar hata nauli yeke usingepokea basi,..

Wakati mwingine wanawake acheni ujinga
 
Hao wanawake wanaowapa mizigo kwa hela wanafanya hivyo kwa sababu wanaume wa siku hizi mmezidi sana dharau tendo mfanye wote dharau ziende kwa mwanamke khaa acheni mchunwe tu kwa kweli
Hatuwezi mbona nyie hamtoi mzigo bila hela
 
Back
Top Bottom