Wewe kaka wewe, toka huko PM njoo uniahidi hapa

jamaa kakuona wewe very cheap afu unakuja kujisifia humu..sasa elfu 30 si ni pesa ya pipi tu au?
 
Jichanganye uumpe hapo ndo utajua kama anakupa ahadi za kweli au uongo.
 
Achana na tamaa ya fedha fedha ni maua na tena zinaua
 
Si ndiyo wewe mwenye sweta la Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
'1,Nikimkubalia atakuwa ananipa hela ya matumizi kila siku si chini ya elfu 30'.

Aisee mkubali tu msela kuliko yule wa kula tunda kimasihara na kukuachia manyoya kwa 7800.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Oyooooooooooooooooooo kumekucha sasa, sema ahadi hizi unanyota nzuri sana. Anakutabiria utajiri uliotukuka
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…