Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Je, ulitumia hii chanuo na bado unajitafuta hujajipata? Angalau uwe na mtoto wa kukuita baba inatosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalau uwe na ka kibanda ka kuweka mbavu 😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣noma, tulizitumia sana na bado tunajitafuta
Wee utakuwa kijana! Waache maregendary tuongee!Hakuna uhusiano kati ya chanuo mafanikio ya mtu binafsi.
mbona ya juzi hiyoView attachment 3034526je ulitumia hii chanuo na bado unajitafuta hujajipata? Angalau uwe na mtoto wa kukuita baba inatosha
Hii two in 1 yani chana na kioo mahusihusi kwa wenye nywele fupi yani wanafunzi ofcourse watu wa elfu mbili weng wametumia...nakumbuka pale kiborilon zilikua zinauzwa na wale wa kila kitu mia mbiliView attachment 3034526je ulitumia hii chanuo na bado unajitafuta hujajipata? Angalau uwe na mtoto wa kukuita baba inatosha
Anachozungumzia mleta mada hizo chanuo za kitambo sana.Hakuna uhusiano kati ya chanuo mafanikio ya mtu binafsi.
Zinaongelewa enzi sio chanuo kama chanuoHakuna uhusiano kati ya chanuo mafanikio ya mtu binafsi.
Kwani waliolitumia walibakiwa na bahati ya kupata mali?Wanafeli kivipi?View attachment 3034526
Je, ulitumia hii chanuo na bado unajitafuta hujajipata? Angalau uwe na mtoto wa kukuita baba inatosha