Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
Its meditation but results are different.Acha kukariri naweza nikawa nachat alafu nawaza ni lini itakuwa siku.
labda bikra ya nyuma, mwenzio mke wangu wa kwanza tulibikiriana hadi tukaoana na tukapata mtoto mmoja.Kijana tafuta pesa baada ya hapo Sasa tafuta BIKRA wako weka ndani.
Endelea Kula Maisha.
Sitaki maswali mengi nipo zangu na-meditate hapa.
View attachment 3569050
Lazma watie hasara kwa mtuJinn ni marafiki poa Sana Kwa watu ambao sio wanafki
Snokonoko😃Mtoto mnoko wewe
Vijana wenzio wanapambania bikra we upo wapi kwani! Kazaa..Kwani bikra ndo kigezo kikuu cha mwanamke kuolewa
NB msinifokee
Yani ujinga ujinga tuIla hii dunia kila siku watu wanakuja na formula kuhusu mahusiano.
leo hiv mara huyu anasema hivi.
kumkunja nilimkunja kwelkwel akaridhika huduma kama kawaida. Sasa alikosa nin kwangu?Kuna timing ulikosea mkuu
Watakwambia pesa!kumkunja nilimkunja kwelkwel akaridhika huduma kama kawaida. Sasa alikosa nin kwangu?
Sawa mama ushauri ila soko la mahusiano ni gumu sana watu wanarudiana mno naona kuna mzee mmoja anatrend kwa sana sasa mtandaoni akiimba nyimbo ya maumivu ya mapenzi kwa hisia sana anasema alimsomesha mpaka kuhitimu akauza nyumba zake tatu ili amtibie alipokua akiumwa na bado alipona na kuachwaVijana wenzio wanapambania bikra we upo wapi kwani! Kazaa..
We hapo umechukua lipi? Unakaza au?Sawa mama ushauri ila soko la mahusiano ni gumu sana watu wanarudiana mno naona kuna mzee mmoja anatrend kwa sana sasa mtandaoni akiimba nyimbo ya maumivu ya mapenzi kwa hisia sana anasema alimsomesha mpaka kuhitimu akauza nyumba zake tatu ili amtibie alipokua akiumwa na bado alipona na kuachwa
Lemi ongala anawimbo wake mmoja unaitwa WEMA KUMANYOKO
Hayana miongozo naishi nae kulingana na nyakati ukiwa ni wakati wangu nitaenjoy na kumgeuzageuza kama sato wakati wangu ukiisha nakaaa pembeni kutoa mifupaWe hapo umechukua lipi? Unakaza au?
Saiz vijana wanajuhudi sana katika kuwajali wake za watuWe hapo umechukua lipi? Unakaza au?