Wewe kaza fuvu Tu kuhusu kuoa

Mh wewe ni mwanamke unatakiwa na misimamo sasa umeolewa na bado unapagawa na mwanaume anayesuka kama wewe au zile sendo zao za sori kubwa ndo mnapagawa zaidi
Duhh kijana, kabisa? Ukanifananishe na wendawazimu unaokutana nao kitambaa😃
Mwanaume wangu, kusuka? Makobaz? Never!!😱
 
Mzee timing ilifel
 
Hili suala la kuibiwa Nyeti naona vijana wenzangu wote hapa masikani wana kinga, mm pekee nimekaza Fuvu lakini Nyeti hazina confidence...😂 Ntaoajee mkuu
Fanya biashara kupitia FB Kuna wateja sana
 
Swala kutafuta hela tulianza kusaKa tokea 20 yrs mzee.. na bado tunaendelea kusaka pesa... kusubili tuwe bilionea af nd tuoe mpaka lini, nikuoa huku tunatafuta pèsa
Nazungumzia Hela ambazo huwezi kuwaza habari za kulipa Kodi.

Achana na hizi za kulala saa saba alafu saa nane upo macho Yani Muda wowote unawaza kutekwa au kuuliwa.

Pesa nyingi zina stress kuliko pesa kidogo ya masikini
 
Mkuu

Umenifikirisha kidogo kuhusu bikra.. hii bikra umemaanisha bikra kabsa au umetumia tafsida tu kuwa bikra kwa kumaanisha ni mtoto wa kike

Nitashukuru sana ukinijibu hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…