Wewe Kocha wa Aston villa... safu yako ya ushambuliaji kuna tatizo hapo umeligundua?k

Wewe Kocha wa Aston villa... safu yako ya ushambuliaji kuna tatizo hapo umeligundua?k

Boutafrica

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2014
Posts
974
Reaction score
2,106
Sisi wadau hatuongei sana na hatukufundishi ila utakuwa
ushaelewa kinachoendelea hapo Mbele....hivi ana matatizo gani huyu kijana wako Glealish?
Sasa kaa na kijana wako umwambie kabisa kwamba hicho kitabia chake cha kike wadau hatujakipenda!!!

Ahsante.
 
hao wengine ni wakosoaji tu achana nao. sijui hawamuoni haaland magoli anayofunga
mtaalam hivi haaland kwel unamuweka bakuli moja na Samatta seriously 🤔🤔haaland anatoka anasaka nafas ana dribble anatumia nguvu anakimbia na Sancho akiwapunguza kazi kwisha ukwel mchungu samata a change kutokana na uchezaj wa aston hawapigi krosi atakazo funga kwa kichwa wanapiga pasi mpak kweny D lakn huku tunaishia kumtukana le captain Glealish 😂😂😂
 
Yaani watanzania bwana !!jamani ulaya kila mwalimu anamfumo wake ,sasa kulingana na mfumo mwalimu ameshatengeneza mtu namba moja wa kuanza kufunga kwa mfano pale Barcelona mwalimu ameshamtengeneza Messi kama ndiyo mtu wa kwanza kufunga wengine mtafunga baadae,endelea tena mfumo wa Liverpool watu watatu pale mbele yaani sadio,firmino,salah yeyote atakayekuwa kwenye nafasi ya kufunga anaweza kufunga,kwa hiyo watanzania najua pamoja na Mimi ninayeandika napenda SAMATTA afunge magoli lakini mfumo wa timu ni kama unambana ,lakini kwa sababu mchezo wa mpira ni uwaziiii zaidi tuvumilie mpaka pale mtanzania wetu akianza kuwazoea walimu pamoja na wachezaji wenzake najua mtoto wetu ni wakwanza kuanza kuonekana hivyo tunatamani kila wakati afanyevitu vikubwa nawasihi tena tufuatilie hii mipira yetu kwa undani kuanzia mfumo wa timu,historia,pamoja na mazingira ya nchi,viva SAMATTA@FORTELEZA
 
Back
Top Bottom