Wewe Kocha wa Aston villa... safu yako ya ushambuliaji kuna tatizo hapo umeligundua?k

Wewe Kocha wa Aston villa... safu yako ya ushambuliaji kuna tatizo hapo umeligundua?k

[QUOTE="Booster10, post: 34266758, member: 579368"
Sent using Jamii Forums app
[/QUOTE]
Mm pia nimeshangaa....kikubwa kwenye Timu ni ushirikiano.
 
nikuulize kitu samata ana shot on target au off target kwa hizi game mbil?? ukiacha gori alilopiga je kuna mchezaji yoyote alie mpa assist ya goli Samatta [emoji848][emoji848][emoji848]
Kamuangalie firminho yeye ndo katoa assist 3 jana. Kama samata anasubiri aletewe mwambieni hayuko bongo. Mpira umebadilika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nikuulize kitu samata ana shot on target au off target kwa hizi game mbil?? ukiacha gori alilopiga je kuna mchezaji yoyote alie mpa assist ya goli Samatta 🤔🤔🤔
Huenda rangi nyeusi hawaipendi ila hawasemi.
 
Hawa watarudi chini zaidi ya hapo walipo kama wataendelea kucheza kama tulivyowaona kwenye hizi mechi mbili.

Wachezaji kila mmoja anacheza kivyake, mpira wa kizamani kabisa.

Msukumo wa ushindi haupo sio kwa wachezaji wala huyo kocha.

Kocha sio mkali ni kama ameridhika fulani vile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ipo kwa samata kuzengea zengea kusubil mpira hiyo kitu haipo siku hizi atoke atafute nafas aache mpira wa kizamani vinginevyo Glealish tutamuona mbaya sanaaaa huu mwaka
Naamini Samata alikuwa anazunguka eneo la 18 muda wote kwa maelekezo ya kocha, Samata huwa sio mtu wa kusubiria mipira Kama tulivyomuona jana.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Grealish ndio mchezaji anaeongoza kwa kutoa assist passes nyingi EPL, fuatilieni takwimu
 
Huyo ndio alikua man of the match jana (MOM)
Sisi wadau hatuongei sana na hatukufundishi ila utakuwa
ushaelewa kinachoendelea hapo Mbele....hivi ana matatizo gani huyu kijana wako Glealish?
Sasa kaa na kijana wako umwambie kabisa kwamba hicho kitabia chake cha kike wadau hatujakipenda!!!

Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi wadau hatuongei sana na hatukufundishi ila utakuwa
ushaelewa kinachoendelea hapo Mbele....hivi ana matatizo gani huyu kijana wako Glealish?
Sasa kaa na kijana wako umwambie kabisa kwamba hicho kitabia chake cha kike wadau hatujakipenda!!!

Ahsante.
Jack Grealish ndie father wa tim ujio wa samatta anaona amekuja kuchukua ufalme wake hivyo anacheza kijelous
 
Jamaa peke yake ndiye anakaa sana na mpira.
Yaani anapenda kutafuta nafasi yake mwenyewe ili afunge yeye.
 
Back
Top Bottom