princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
kwani sio mchwawi[emoji3].jiandae kuitwa mchawi [emoji23][emoji23][emoji23]
Yeye kama anaweza asaivi angekua anacheza Epl kama ni rahisi kama maneno mdomoni.
Hata tunapokosoa tukosoe penye kosa, tatizo letu sisi kauli zetu zimekaa ki-jealous "Samatta bado sana Epl/ samatta hafiki popote/ atasugua benchi " nk
Tukosoe kosa bila chuki na maneno ya kukatisha tamaa kama hayo
Sent using Jamii Forums mobile app