Yaani watanzania bwana !!jamani ulaya kila mwalimu anamfumo wake ,sasa kulingana na mfumo mwalimu ameshatengeneza mtu namba moja wa kuanza kufunga kwa mfano pale Barcelona mwalimu ameshamtengeneza Messi kama ndiyo mtu wa kwanza kufunga wengine mtafunga baadae,endelea tena mfumo wa Liverpool watu watatu pale mbele yaani sadio,firmino,salah yeyote atakayekuwa kwenye nafasi ya kufunga anaweza kufunga,kwa hiyo watanzania najua pamoja na Mimi ninayeandika napenda SAMATTA afunge magoli lakini mfumo wa timu ni kama unambana ,lakini kwa sababu mchezo wa mpira ni uwaziiii zaidi tuvumilie mpaka pale mtanzania wetu akianza kuwazoea walimu pamoja na wachezaji wenzake najua mtoto wetu ni wakwanza kuanza kuonekana hivyo tunatamani kila wakati afanyevitu vikubwa nawasihi tena tufuatilie hii mipira yetu kwa undani kuanzia mfumo wa timu,historia,pamoja na mazingira ya nchi,viva SAMATTA@FORTELEZA