princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
kwani sio mchwawi[emoji3].jiandae kuitwa mchawi [emoji23][emoji23][emoji23]
kwa kuwa KDB anacheza mielekaGrealish ndio mchezaji anaeongoza kwa kutoa assist passes nyingi EPL, fuatilieni takwimu
[emoji28][emoji28][emoji28]Tunaomba serikali iingilie kati hili swala.
acha unafiki anacheza vile kwa maelekezo ya kocha sio unadhani anacheza tu kama unavocheza singeli..samata kwa mchezo wake asipo badilika kufuata mfumo wa aston ataanza kusugua bench soon japo watu watasema huu ni urozi lakn ndio ukweli
Wewe wa wapi wewe? weka data hapa acha maneno, anachoongoza yeye ni kuchezewa faulu ni hii nadhani ni kwa sababu anakaa sana na mpira, kitu ambacho sio kizuri sana ikiwa timu inaenda speed.Grealish ndio mchezaji anaeongoza kwa kutoa assist passes nyingi EPL, fuatilieni takwimu
hakuna cha debrune. Grealish ndio mchezaji anaeongoza kwa assisa EPLNa debruyne?
Kumbe kwenye Soka pia humo!??kwani sio mchwawi[emoji3].
Yeye kama anaweza asaivi angekua anacheza Epl kama ni rahisi kama maneno mdomoni.
Hata tunapokosoa tukosoe penye kosa, tatizo letu sisi kauli zetu zimekaa ki-jealous "Samatta bado sana Epl/ samatta hafiki popote/ atasugua benchi " nk
Tukosoe kosa bila chuki na maneno ya kukatisha tamaa kama hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu angalia tena rekodi zako...Au unaongelea Pasi mkuu!??hakuna cha debrune. Grealish ndio mchezaji anaeongoza kwa assisa EPL
Samata ni mpambanaji kaka zaidi jionee mavituz haya, tumpe muda azoee mazingira ya UingerezaShida ipo kwa samata kuzengea zengea kusubil mpira hiyo kitu haipo siku hizi atoke atafute nafas aache mpira wa kizamani vinginevyo Glealish tutamuona mbaya sanaaaa huu mwaka
Yan kama mimi neno lenyewe Siasa sitaki hata kulisikia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanaofatilia wanajiwezaYan kama mimi neno lenyewe Siasa sitaki hata kulisikia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejua wanacheza mfumo gani?samata kwa mchezo wake asipo badilika kufuata mfumo wa aston ataanza kusugua bench soon japo watu watasema huu ni urozi lakn ndio ukweli
Sedio mane ni winga. Sakata ni central striker, huoni tofauti?Ni kweli kabisa mkuu, na hii ndo inamfanya Sedio Mane ku-score kila game
Sent using Jamii Forums mobile app
Tofautisha playmaker na central striker.mtaalam hivi haaland kwel unamuweka bakuli moja na Samatta seriously [emoji848][emoji848]haaland anatoka anasaka nafas ana dribble anatumia nguvu anakimbia na Sancho akiwapunguza kazi kwisha ukwel mchungu samata a change kutokana na uchezaj wa aston hawapigi krosi atakazo funga kwa kichwa wanapiga pasi mpak kweny D lakn huku tunaishia kumtukana le captain Glealish [emoji23][emoji23][emoji23]
De Bruyne itakuwa anacheza ligi kuu ya Somalia.Grealish ndio mchezaji anaeongoza kwa kutoa assist passes nyingi EPL, fuatilieni takwimu