aisee...nadhani sasa ngoja nilale...
Aisee sina shaka na uwezo wangu huwa nasukuma vema round zote.
Mkuu, naona umenogewa, hata kuondoka unashindwa
Twambie basi katika hizo myth hapo juu unapinga ipi...
Ni kweli. Au unakuta yule ambaye ulikuwa umempania unamaliza mambo ndani ya dakika moja lakini yule ambaye wala hukuwa na time naye ndio kwaanza kunakucha.
Mhadhiri wa chuo kikuu cha Nairobi Luke Odime, mwanasociologia, anaeleza kwamba japo ni muhimu kuzungumza na wana wako kuhusu maswala ya kijamii ili kuwatayarisha jinsi ya kuishi na walimwengu. Lazima kupata ujuzi wa kuwaelewa watoto na vijana na kuwazungumzia kwa mbinu ambayo haitawasababisha kutaka kujua zaidi bila tahadhari.