Wewe mbovu kwenye SEX! Unajua hilo?

Wewe mbovu kwenye SEX! Unajua hilo?

EMT MYTH – Sex should always involve an orgasm i believe in this,what about you
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Nitest wapi sasa. Anyway, lets go down to business. Hizi ni baadhi ya myths ambazo zimesambaa kwenye vichwa vya watu wengi. Do you believe in any of them? Ikiwexekana tuanze kujadili moja moja. lol

MYTH – The only true kind of sex involves someone putting their penis in someone else. Anything else isn't really sex - yes.
MYTH – Having sex on your own isn't really sex-yes
MYTH – Sex should always involve an orgasm - yes
MYTH – If one person orgasms that has to be the end of sex- no
MYTH – Sex should always start with lots of foreplay-no
MYTH – Foreplay is for kids-no
MYTH – Men need an erection in order to have sex-no
MYTH – Sex is about putting on a good performance, not about enjoying yourself-no
MYTH – Men should take control of sex, they should be the ones who initiate it and determine what is done-no
MYTH – Men are always ready for sex-no
MYTH – Men always want sex-yes
MYTH – Women rarely want sex-somehow
MYTH – Women need to be convinced to have sex-teh teh teh
MYTH – People shouldn't need any extra lubrication in order to have sex except that produced by their bodies-depends
MYTH – Men should be able to last all night-no
MYTH – Women should have sex with their partner otherwise they will lose them-no
MYTH – All kissing and touching should lead to sex-no
MYTH – It is bad to have sex on your own too much-teh teh teh guilty as charged.
MYTH – You should never have sex on your own if you have a partner- no
MYTH – If you fantasize about someone else you're not happy with your partner-no
MYTH – If you have had sex with someone once you have to do it again-no
MYTH – If you have had one kind of sex it isn't okay to say you don't want to do that any more-teh teh teh
 
  • Thanks
Reactions: EMT
ni kweli, ila ukibahatika ukawa kati ya wachache wenye kufurahia ni bahati kubwa.
hayo maswali yako mimi naona kama wote mwanamke na mwanaume wa kulaumiwa. it takes two to tango,

its true kwamba ni wote wawili lakin kwa maisha ya hapa bongo ukiweka maujuzi yako ili utimize malengo mbona unabwagwa?
 
hii mimaji utaijua tu erotica wala haina shida. utaona kila mara chupi inaloana, pasi sababu ya msingi hasa wale wenye ma******na hii husababishwa na hormones nyingi kwasababu pia ya ukubwa wa mwili.Ndio maana hata wenzetu huwa wanajitahd sana kauapunguza miili lakin sisi unene na mitako mikubwa ndio uzur lol

gfsonwin wewe wa ukweli. teh teh teh. kwa maneno mengine hata kama
huna mimaji ukinenepa mimaji inaongezeka? alafu kama chupi yako hailoi baaas una was was?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mwana Mtoka Pabaya sex ndio determinant ya performance ya mtu kwenye sehemu nyingine za maisha yake. Kama mtu ha-enjoy good sex, kama mtu ana matatizo ya sex, kama mtu haridhiki au hamridhishi mwenzake kimapenzi, lazima inaadhiri shughuli zake nyingine whether za kisiasa, kiuchumi na hata kijamii. Huo ni ukweli ulio wazi.

Tatizo tulilo nalo hapa nchini ni kwamba hatu-address social problems ambazo ndizo zinasababisha matatizo mengine. Sex is seen as a taboo. Kwamba sio vizuri kuongelea sex. Lakini karibu robo tatu yetu tumekuwa na matatizo ya sex at one point in time.

Kama kwako mijadala ya maana ni siasa, tumekuwa tukijadili siasa hapa long time lakini umeona mabadiliko yoyote kwenye fani ya siasa? Nope. After all maisha ya binadamu ni zaidi ya siasa.

Kama wewe unaona sex is not that so important to you then utakuwa una tatizo la kibinadamu.
Erotica endelea. Mie nachukua notes.

Sijawahi kuona mwanaume jasiri wa kuelezea jinsi alivyo na elements za kike kama wewe. (sorry to say this). Hapa unanitaka nilinganishe mapenzi na siasa?

Kweli unataka kuniambia tukiwa na akili zetu timamu tuamini kuwa SEX is the most determinant factor to our betterment as individuals so as the nation! Mimi nafikiri ni siasa ndio inadetermine mambo yote ndani ya nchi.

Lakini acha niheshimu maadhimio yako, endeleeni kuzungumzia sehemu zenu za siri na namna mnavyosalitiana huku ukipongezana na hawa wanawake manungayembe wanaojiweka biiiize siku nzima kuzungumzia sex ilimradi tu wapate watu wa kuwatongoza. Ila nikusihi kuwa, kama mwanaume, siasa ya nchi haikwepeki na kuikwepa ni kukwepa maisha yenyewe.

"Love is the whole history of a woman's life, it is but an episode in a man's. "
Madame de Stael

Mtoto wa kiume anayeshabikia mazungumzo ya ngono tuuu mchana kutwa ni dalili za kusumbuliwa na balehe, hamna lingine. Na wa kike ni uhuni tu wa kutafuta watu wa kumtongoza. Matured men have a lot to do more than talking about their penis and how someone got hurt after been cheated by her girl lover.

Excrement of the clan!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
ila ukweli ni kwamba tafiti zinaonyesha wanawake 40% tu ndio wanaofurahia tendo la ndoa, wengine 60% hawafurahii na hi huwa wanasociolojia ya mambo ya ndoa wanasema wamebakwa.kwa tafiti hizi wanawake wengi walioko kwenye mahusiano wanabakwa. swali je n kwamba wenzi wao hawajui? au ni kwamba wao hawajui? au pia waote wawili hawajui?

hapa jibu ni gumu lakini mtaalam mmoja wa mambo ya ndoa alisema ukitaka wewe ke kufurahia hii kitu basi inabidi uisaidie mwenyewe. sikukuelewa kwa haraka lakin ukiangalia haya mapicha ya ngono utaona jinsi ke wanavyojisaidia. sasa hapa bongo fanya hivyo na mpenzio chumbani uone akitoka utakuta kaumwaga jamvini anaomba ushauri juu ya kilichotokea.

Mkuu lakini mengi yanayoonyeshwa kwenye filamu za porn hayatokei kwenye real life. Kwanza, kwenye porn both penises and vaginas looks like the same, lakini kwenye real life they come in all shapes and sizes kitu ambacho kinaweza kuwafanya wahusika kuwa anxious kama zao hazifanani na za kwenye porn.

Pili, penises kwenye filamu za porn zinakuwa two or three times the size of the average erect penis which is 5 inches (12.5cm) long.

Tatu, mara nyingi porn zinaonyesha wanawake wakifikia mshindo through penetration wakati in reality wanawake wengi hawafikii mshindo through penetration. Wanahitaji stimulation, lots of touchings with hands, etc.

Nne, porn zinaonyesha kuwa sex ina last for hours. Lakini in reality sex can last from seconds to days depending on what you are doing and how you define sex.
 
gfsonwin wewe wa ukweli. teh teh teh. kwa maneno mengine hata kama
huna mimaji ukinenepa mimaji inaongezeka? alafu kama chupi yako hailoi baaas una was was?

ukiona umenenpa mwili sana jua unaharibika, lazima horones zitazidi na mwishowe chemchem. pia kipimo siyo chupi tu hata kitandani pia. ukiona umelowanisah basi ujue wewe chemchem
 
EMT MYTH – Sex should always involve an orgasm i believe in this,what about you

Inategemeana na definition yako ya sex.
Kama sex kwako inabase zaidi kwenye penetration tuu then, you may be right.
In fact wanaume wengi wanaamni kwenye kwenye hii myth.
Not sure about women labda akina Erotica na Mwali watueleze.
 
Last edited by a moderator:
Inategemeana na definition yako ya sex.
Kama sex kwako inabase zaidi kwenye penetration tuu then, you may be right.
In fact wanaume wengi wanaamni kwenye kwenye hii myth.
Not sure about women labda akina Erotica na Mwali watueleze.
Mi naendelea kuandika tu, sina comments wala nini.
 
Sijawahi kuona mwanaume jasiri wa kuelezea jinsi alivyo na elements za kike kama wewe. (sorry to say this). Hapa unanitaka nilinganishe mapenzi na siasa?

Kweli unataka kuniambia tukiwa na akili zetu timamu tuamini kuwa SEX is the most determinant factor to our betterment as individuals so as the nation! Mimi nafikiri ni siasa ndio inadetermine mambo yote ndani ya nchi.

Lakini acha niheshimu maadhimio yako, endeleeni kuzungumzia sehemu zenu za siri na namna mnavyosalitiana huku ukipongezana na hawa wanawake manungayembe wanaojiweka biiiize siku nzima kuzungumzia sex ilimradi tu wapate watu wa kuwatongoza. Ila nikusihi kuwa, kama mwanaume, siasa ya nchi haikwepeki na kuikwepa ni kukwepa maisha yenyewe.

"Love is the whole history of a woman's life, it is but an episode in a man's. "
Madame de Stael

Mtoto wa kiume anayeshabikia mazungumzo ya ngono tuuu mchana kutwa ni dalili za kusumbuliwa na balehe, hamna lingine. Na wa kike ni uhuni tu wa kutafuta watu wa kumtongoza. Matured men have a lot to do more than talking about their penis and how someone got hurt after been cheated by her girl lover.

Excrement of the clan!

naomba niinunue hii ligi mimi. UNGEKUWA NA UANAUME ungetulia, mwana mtoka pabaya kama jina lako, yamkini wewe ulitoka ukiwa unapachungulia ndio maana umepakinai. wenzio waliotoka wakiwa wamelala wako kimya kabisaaa.unaujua uanaume unausikia halafu unajisifia mndengereko nieleze mkole ulikwenda wapi na nai alikufunda wewe usokuwa na haya. nyakanga wako hakuijua kazi na sasa nitaomba mods waniandalie mkole humu niwafunde watu kama ninyi. nautizama uanaume wako siuoni sura huna , maneno huna, hela huna bdo ukapewa kipisi cha sigara. ukitaka amka na maneno uone cha mtema kuni.
 
MYTH – The only true kind of sex involves someone putting their penis in someone else. Anything else isn't really sex - yes.
MYTH – Men need an erection in order to have sex - no

Majibu yako kwa hizo myth mbili yanajikontradikti. If you agree that the only true kind of sex involves someone putting their penis in someone else, how can a man manages to do that without an erection?
 
Inategemeana na definition yako ya sex.
Kama sex kwako inabase zaidi kwenye penetration tuu then, you may be right.
In fact wanaume wengi wanaamni kwenye kwenye hii myth.
Not sure about women labda akina Erotica na Mwali watueleze.

orgasm siyo lazima penetration iwepo, na for yor information most women do reach orgasm by deep fore play
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Majibu yako kwa hizo myth mbili yanajikontradikti. If you agree that the only true kind of sex involves someone putting their penis in someone else, how can a man manages to do that without an erection?

No naelewa na msimamo wangu bado ni huo. Ya kwanza tumekubaliana. A man does
not need an erection to have sex. He needs kua na a penis, as long as ana
penis you can erect it kama rijali na sio yule ambae sio riziki. Kwa maneno mengine unaweza kua huja erect ila haimaanishi you can not have sex ukitaka.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
naomba niinunue hii ligi mimi. UNGEKUWA NA UANAUME ungetulia, mwana mtoka pabaya kama jina lako, yamkini wewe ulitoka ukiwa unapachungulia ndio maana umepakinai. wenzio waliotoka wakiwa wamelala wako kimya kabisaaa.unaujua uanaume unausikia halafu unajisifia mndengereko nieleze mkole ulikwenda wapi na nai alikufunda wewe usokuwa na haya. nyakanga wako hakuijua kazi na sasa nitaomba mods waniandalie mkole humu niwafunde watu kama ninyi. nautizama uanaume wako siuoni sura huna , maneno huna, hela huna bdo ukapewa kipisi cha sigara. ukitaka amka na maneno uone cha mtema kuni.

gfsonwin achana na hiki KIAJUZA!...kantokwa na povu tu...sijui haipandi hewani ngoma yake?
 
Last edited by a moderator:
Mwana mtoka pabaya wewee!!! hapa nikimaanisha hivo hivo sio kwamba nakuita! Kaaaah.
wewe umeingia mmu unategemea kupata topic gani zaidi ya cheating, nyumba ndogo,
nimetendwa, after sex mistakes, kapos fight, being ignored yote hayo msingi wake ni sex. cha ajabu nini?
kama wewe mbovu na ukasema hapa tutapeana tips, unaona hazikufai sepa kabla hata hayo maneno sijayafilisi.
Eti mambo ya maana. ungezaliwa wewe bila sex? au na wewe huna maana?

Mdada inaonekana una Dom0 chafu...
Usije ukanigeukia na mimi..
Kwakheri..
 
Back
Top Bottom