Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kweli, ila ukibahatika ukawa kati ya wachache wenye kufurahia ni bahati kubwa.
hayo maswali yako mimi naona kama wote mwanamke na mwanaume wa kulaumiwa. it takes two to tango,
hii mimaji utaijua tu erotica wala haina shida. utaona kila mara chupi inaloana, pasi sababu ya msingi hasa wale wenye ma******na hii husababishwa na hormones nyingi kwasababu pia ya ukubwa wa mwili.Ndio maana hata wenzetu huwa wanajitahd sana kauapunguza miili lakin sisi unene na mitako mikubwa ndio uzur lol
Mkuu Mwana Mtoka Pabaya sex ndio determinant ya performance ya mtu kwenye sehemu nyingine za maisha yake. Kama mtu ha-enjoy good sex, kama mtu ana matatizo ya sex, kama mtu haridhiki au hamridhishi mwenzake kimapenzi, lazima inaadhiri shughuli zake nyingine whether za kisiasa, kiuchumi na hata kijamii. Huo ni ukweli ulio wazi.
Tatizo tulilo nalo hapa nchini ni kwamba hatu-address social problems ambazo ndizo zinasababisha matatizo mengine. Sex is seen as a taboo. Kwamba sio vizuri kuongelea sex. Lakini karibu robo tatu yetu tumekuwa na matatizo ya sex at one point in time.
Kama kwako mijadala ya maana ni siasa, tumekuwa tukijadili siasa hapa long time lakini umeona mabadiliko yoyote kwenye fani ya siasa? Nope. After all maisha ya binadamu ni zaidi ya siasa.
Kama wewe unaona sex is not that so important to you then utakuwa una tatizo la kibinadamu.
Erotica endelea. Mie nachukua notes.
ila ukweli ni kwamba tafiti zinaonyesha wanawake 40% tu ndio wanaofurahia tendo la ndoa, wengine 60% hawafurahii na hi huwa wanasociolojia ya mambo ya ndoa wanasema wamebakwa.kwa tafiti hizi wanawake wengi walioko kwenye mahusiano wanabakwa. swali je n kwamba wenzi wao hawajui? au ni kwamba wao hawajui? au pia waote wawili hawajui?
hapa jibu ni gumu lakini mtaalam mmoja wa mambo ya ndoa alisema ukitaka wewe ke kufurahia hii kitu basi inabidi uisaidie mwenyewe. sikukuelewa kwa haraka lakin ukiangalia haya mapicha ya ngono utaona jinsi ke wanavyojisaidia. sasa hapa bongo fanya hivyo na mpenzio chumbani uone akitoka utakuta kaumwaga jamvini anaomba ushauri juu ya kilichotokea.
gfsonwin wewe wa ukweli. teh teh teh. kwa maneno mengine hata kama
huna mimaji ukinenepa mimaji inaongezeka? alafu kama chupi yako hailoi baaas una was was?
EMT MYTH – Sex should always involve an orgasm i believe in this,what about you
Nini kinaendelea humu?
Nini kinaendelea humu?
Balehe zinasumbua.
Na kwaherini kwenye jukwaa lenu
Sijawahi kuona mwanaume jasiri wa kuelezea jinsi alivyo na elements za kike kama wewe. (sorry to say this). Hapa unanitaka nilinganishe mapenzi na siasa?
Kweli unataka kuniambia tukiwa na akili zetu timamu tuamini kuwa SEX is the most determinant factor to our betterment as individuals so as the nation! Mimi nafikiri ni siasa ndio inadetermine mambo yote ndani ya nchi.
Lakini acha niheshimu maadhimio yako, endeleeni kuzungumzia sehemu zenu za siri na namna mnavyosalitiana huku ukipongezana na hawa wanawake manungayembe wanaojiweka biiiize siku nzima kuzungumzia sex ilimradi tu wapate watu wa kuwatongoza. Ila nikusihi kuwa, kama mwanaume, siasa ya nchi haikwepeki na kuikwepa ni kukwepa maisha yenyewe.
"Love is the whole history of a woman's life, it is but an episode in a man's. "
Madame de Stael
Mtoto wa kiume anayeshabikia mazungumzo ya ngono tuuu mchana kutwa ni dalili za kusumbuliwa na balehe, hamna lingine. Na wa kike ni uhuni tu wa kutafuta watu wa kumtongoza. Matured men have a lot to do more than talking about their penis and how someone got hurt after been cheated by her girl lover.
Excrement of the clan!
MYTH – The only true kind of sex involves someone putting their penis in someone else. Anything else isn't really sex - yes.
MYTH – Men need an erection in order to have sex - no
Majibu yako kwa hizo myth mbili yanajikontradikti. If you agree that the only true kind of sex involves someone putting their penis in someone else, how can a man manages to do that without an erection?
naomba niinunue hii ligi mimi. UNGEKUWA NA UANAUME ungetulia, mwana mtoka pabaya kama jina lako, yamkini wewe ulitoka ukiwa unapachungulia ndio maana umepakinai. wenzio waliotoka wakiwa wamelala wako kimya kabisaaa.unaujua uanaume unausikia halafu unajisifia mndengereko nieleze mkole ulikwenda wapi na nai alikufunda wewe usokuwa na haya. nyakanga wako hakuijua kazi na sasa nitaomba mods waniandalie mkole humu niwafunde watu kama ninyi. nautizama uanaume wako siuoni sura huna , maneno huna, hela huna bdo ukapewa kipisi cha sigara. ukitaka amka na maneno uone cha mtema kuni.
Mwana mtoka pabaya wewee!!! hapa nikimaanisha hivo hivo sio kwamba nakuita! Kaaaah.
wewe umeingia mmu unategemea kupata topic gani zaidi ya cheating, nyumba ndogo,
nimetendwa, after sex mistakes, kapos fight, being ignored yote hayo msingi wake ni sex. cha ajabu nini?
kama wewe mbovu na ukasema hapa tutapeana tips, unaona hazikufai sepa kabla hata hayo maneno sijayafilisi.
Eti mambo ya maana. ungezaliwa wewe bila sex? au na wewe huna maana?