Wewe mdau wa JF, username ipi ukiachana na unayotumia inakuvutia?

Kuvutia kwa username hakuna uhusiano na umaarufu wa mwenye nayo. Hapa naona umetaja username za ID maarufu ila sioni namna gani zinavutia. Labda ulitaka kumaanisha ID unazozikubali ambalo hili halitegemei hiyo ID ina avatar gani wala username gani mradi unakubali hoja za mtu hata akibadili jina unamjua tu. Muda fulani Ezekiel Mbaga alibadili username na kutumia hii ila tulijua kwa sababu ya uwezo wake wa kuchekesha.

Na mtu anayekukera unamjua tu hata atoe ID mpya kila siku kama yule mzee wa popoma.

ID ninazokubali kwenye majina ni Jana Ulirudi Usiku Mbao za Mawe Robot la Matope My Son drink water na ya jamaa alikuwa anajiita Mke wangu Mjamzito sasa sijui alishajifungua
 
Ki ufupi id ambayo inayofurahisha mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…