Wewe mdau wa JF, username ipi ukiachana na unayotumia inakuvutia?

Wewe mdau wa JF, username ipi ukiachana na unayotumia inakuvutia?

Kuna id kibao siku jizi sizioni. Husninyo Balantanda mzee wa zilipendwa. juve2012 mzee wa kutulisha matango pori kwenye uzi wa C.T.U na kisa cha Rockfellers.
Jason Bourne na kisa cha mwakýembe. Hutaki unaacha. Braza'ngu Mourinho na club ýake iliýojaa fitina Bianconeri.
Kwa kifupi wapo wengi ila nadhani wanapita tu na kucheki nyuzi na kuishia kusoma tu.
 
😂😂😂 Ww jamaa 😂😂😂 Asante kwa kuniona, kuhusu kuchekesha binafsi cjui nisemaje ila ww ni mtu wa tatu naona unasema nachekesha na n kweli nilibadi I'd kutoka (Mbaga Jr) lakini kuna watu bado wananifahamu.
Nakumbuka nilivobadili I'd kuna jamaa akaona comment yangu kwenye uzi fulani nasifia punyeto bc akaniambia anaupenda/unamchekesha uzi wangu flani hv uliokuwa unaitwa 'jinsi ya kusafisha uume' ambao niliandika nikiwa na I'd ya zamani lakini jamaa akanikumbuka japokuwa nilibadi I'd.
Nakukubali mkuu 🙏
Mimi hiyo avatar inanifurahisha😂😂😂
 
Back
Top Bottom