Wewe mdau wa JF, username ipi ukiachana na unayotumia inakuvutia?

Tutaziunga..๐Ÿ˜‚
Mkuu nakuchimba biti tu
Hahah ogopa Sana mtu anakupa warning bila kutumia nguvu! Hakutishi Wala Nini anakwambia tu "wewe endelea unachokitafuta utakipata..." Watu wa hivi sio kabisa๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Mkuu go ahead nakuzingua tu simjui huyo bibie we komaa.
 
Back
Top Bottom