Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Limekuaje mkuuduu hilo jina[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mbuta[emoji87]
Thanks bro🙏🙏Asante kamanda. You are humble indeed. Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Huyu bwana yupo kweli humu?Humble african
Muwege na huruma Mara moja moja basi😐Tulia huko huko ulipo.
Huruma za nini? Usipende kuonewa huruma, sio vizuri.Muwege na huruma Mara moja moja basi😐
Huyu si ndo yule mwenye ule Uzi wa Michelangelo na Leonardo Da Vinci?Huyu bwana yupo kweli humu?
Usipende kuweka vigingi Kila muda sio vizuri!Huruma za nini? Usipende kuonewa huruma, sio vizuri.
Sawa mkuuUsipende kuweka vigingi Kila muda sio vizuri!
Sure ndio mwenyewe huyu,Jamaa alikuwa anajitahidi kushusha nondo nae.Huyu si ndo yule mwenye ule Uzi wa Michelangelo na Leonardo Da Vinci?
Hata Mimi sijamuona muda sana, yeah jamaa Yuko vizuri.Sure ndio mwenyewe huyu,Jamaa alikuwa anajitahidi kushusha nondo nae.
Kwani bado yupo au?
Eeeeh shemeji nipo. Shkamoo.Balantanda Husninyo hawa raia wamepotea sana hapa
Tumemisiana balaa. Wapi klorokwini jamani. Nyani Ngabu nakusalimu kwa jina la jamhuri.Kuna id kibao siku jizi sizioni. Husninyo Balantanda mzee wa zilipendwa. juve2012 mzee wa kutulisha matango pori kwenye uzi wa C.T.U na kisa cha Rockfellers.
Jason Bourne na kisa cha mwakýembe. Hutaki unaacha. Braza'ngu Mourinho na club ýake iliýojaa fitina Bianconeri.
Kwa kifupi wapo wengi ila nadhani wanapita tu na kucheki nyuzi na kuishia kusoma tu.
Umepotelea wapi mama? Kitambo sana sijakuona humu.Tumemisiana balaa. Wapi klorokwini jamani. Nyani Ngabu nakusalimu kwa jina la jamhuri.
Majukumu tu baba tunakimbizana. Uko poa?Umepotelea wapi mama? Kitambo sana sijakuona humu.
Eeeeh shemeji nipo. Shkamoo.