Wewe mdau wa JF, username ipi ukiachana na unayotumia inakuvutia?

Tutaziunga..πŸ˜‚
Mkuu nakuchimba biti tu
Hahah ogopa Sana mtu anakupa warning bila kutumia nguvu! Hakutishi Wala Nini anakwambia tu "wewe endelea unachokitafuta utakipata..." Watu wa hivi sio kabisaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hahah ogopa Sana mtu anakupa warning bila kutumia nguvu! Hakutishi Wala Nini anakwambia tu "wewe endelea unachokitafuta utakipata..." Watu wa hivi sio kabisaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Mkuu go ahead nakuzingua tu simjui huyo bibie we komaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…