Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah... nikitegemea neno kubwa zaidi ya hilo. Lakini acha tu nilipokee, nikiamini iko siku utaniambiaNeno langu nimekumisoo
Naunga mkono hojaNakuchukiaaa yaani sikupendiiii
😀😀😀😀Neno gani tena mpendwaDah... nikitegemea neno kubwa zaidi ya hilo. Lakini acha tu nilipokee, nikiamini iko siku utaniambia
Neno pendwa la kutamkiwa chumbani😀😀😀😀Neno gani tena mpendwa
Kwa hiyo ww ni pisi mbovu!?Ni jina tu mkuu wala si pisi kali🤔
Ngoja nije chumbani unitamkie 🏃🏿♀️Neno pendwa la kutamkiwa chumbani
acheni kuharibu uzi wa watuNeno pendwa la kutamkiwa chumbani
Hapana, wewe ndo unayepaswa kunitamkia..Ngoja nije chumbani unitamkie 🏃🏿♀️
Hatupangiwi wala hatujaribiwiacheni kuharibu uzi wa watu
Only if it could be that easy.... the girl relocated to Dom tagging along her family. Itoshe kusema she is as good as gone. Gone from Dar, from me to another dude. Am now back to square one S.E.A.R.C.H.I.N.G!
Wanamuita miminimkulimaakachekasanaMimi ni mkulima akacheka sana
dah we mzee umeniwahi hadi hukuBebi umeniita, nimekuitika.
Nasubiria neno lako.
Salama mkuu.Mkuu vipi
Ndiyo mimi ni mdada wa kawaida tu, mshamba🤔Kwa hiyo ww ni pisi mbovu!?
Ushamba umeongezea ww.....Ndiyo mimi ni mdada wa kawaida tu, mshamba🤔