mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
Salaam nyingi kwenu wana JF… niliwamiss sana humu ndani
Leo bwana nimeleta confession yangu juu ya huyu Kijana nilikutana nae humu JF...
Nichukue nafasi Hii kukushukuru sana kwa kuwa na mimi katika kipindi kigumu nilichopitia.. pamoja na madhaifu yangu uliweza kunivumilia hivyohivyo.
Mara ya kwanza sikuwa na feeling’s zozote kwako.. ilikuwa nataka tu pa kupumzisha moyo ila at the end unanifanya nikakupenda kiukweli ukweli ( wanawake huwa inachukua muda mrefu kumpenda mwanaume)
Ila umeniangusha mno wakati mimi ndio nazama kwako wewe ukaibuka ukaacha tena kunipenda..
Nataka nikwambie nakumiss sana na nakupendaa sana.. Kama itatokea Mungu akasema nichague mwanaume wa kuwa nae ningekuchagua wewe mara 100
Nakusubirii umalize ujana tuwe wote pamoja
Happy valentine’s my dear Kaka mnyakyusa
It’s me your Brinn 😍