Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,090
- 13,511
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo Avatar yako inatisha 🥹Penye miti hakunaga wajenzi mama, ebu futa huu uzi uje PM😋
🤣🤣🤣yupo kwenye id yake nyingineLast seen yake Monday 05:35😂😂
Kwanini mnawa -raidisha wamama jamani? Huu ni uonevu…
Akiniruhusu 😄😄😄ungemtag tu
Hii ni sukari ya warembo mwali...😋Tatizo Avatar yako inatisha 🥹
Safi 😂😂😂😂🤣🤣🤣yupo kwenye id yake nyingine
Hayo meno mkuuHii ni sukari ya warembo mwali...😋
Jirani....Kwanini mnawa -raidisha wamama jamani? Huu ni uonevu…
Infact women over 30 hatupaswi kuride 😅😅🤦🏻♀️
Salaam nyingi kwenu wana jf… niliwamiss sana humu ndani
Leo bhn nimeleta confession yangu juu ya huyu Kijana nilikutana nae humu jf..
Nichukue nafasi Hii kukushukuru sana kwa kuwa na mimi katika kipindi kigumu nilichopitia.. pamoja na madhaifu yangu uliweza kunivumilia hivyohivyo.
Mara ya kwanza sikuwa na feeling’s zozote kwako.. ilikuwa nataka tu pa kupumzisha moyo ila at the end unanifanya nikakupenda kiukweli ukweli ( wanawake huwa inachukua muda mrefu kumpenda mwanaume)
Ila umeniangusha mno wakati mimi ndio nazama kwako wewe ukaibuka ukaacha tena kunipenda..
Nataka nikwambie nakumiss sana na nakupendaa sana.. Kama itatokea Mungu akasema nichague mwanaume wa kuwa nae ningekuchagua wewe mara 100
Nakusubirii umalize ujana tuwe wote pamoja
Happy valentine’s my dear Kaka mnyakyusa
It’s me your Brinn 😍
Nimekuruhusu....😋Akiniruhusu 😄😄😄
😂😂😂😂🙌🏻Nimekuruhusu....😋
Ahsante sana mahabubaSalaam nyingi kwenu wana jf… niliwamiss sana humu ndani
Leo bhn nimeleta confession yangu juu ya huyu Kijana nilikutana nae humu jf..
Nichukue nafasi Hii kukushukuru sana kwa kuwa na mimi katika kipindi kigumu nilichopitia.. pamoja na madhaifu yangu uliweza kunivumilia hivyohivyo.
Mara ya kwanza sikuwa na feeling’s zozote kwako.. ilikuwa nataka tu pa kupumzisha moyo ila at the end unanifanya nikakupenda kiukweli ukweli ( wanawake huwa inachukua muda mrefu kumpenda mwanaume)
Ila umeniangusha mno wakati mimi ndio nazama kwako wewe ukaibuka ukaacha tena kunipenda..
Nataka nikwambie nakumiss sana na nakupendaa sana.. Kama itatokea Mungu akasema nichague mwanaume wa kuwa nae ningekuchagua wewe mara 100
Nakusubirii umalize ujana tuwe wote pamoja
Happy valentine’s my dear Kaka mnyakyusa
It’s me your Brinn 😍
Mama dic kson....🤔Umenikumbusha yule kaka wa humu nilikuwa nampenda wakati ule 😥
Jirani ni mimi niko waswano , si unajua wikiend leo na jana ilikuwa “hapivalentine”?Jitani....
Mtoto wako anachezea sim huku...🤔
😀😀😀 Watu wema wapo humu japo ni ngumu kuwafahamu.. huyu niliekutana nae ni very very good man issue ni bado ana ujana tu 😌Umenikumbusha yule kaka wa humu nilikuwa nampenda wakati ule 😥