Wewe mkaka wa Jamii Forums mimi mwenzio bado nakupendaa

Salaam nyingi kwenu wana jf… niliwamiss sana humu ndani

Leo bhn nimeleta confession yangu juu ya huyu Kijana nilikutana nae humu jf..

Nichukue nafasi Hii kukushukuru sana kwa kuwa na mimi katika kipindi kigumu nilichopitia.. pamoja na madhaifu yangu uliweza kunivumilia hivyohivyo.

Mara ya kwanza sikuwa na feeling’s zozote kwako.. ilikuwa nataka tu pa kupumzisha moyo ila at the end unanifanya nikakupenda kiukweli ukweli ( wanawake huwa inachukua muda mrefu kumpenda mwanaume)

Ila umeniangusha mno wakati mimi ndio nazama kwako wewe ukaibuka ukaacha tena kunipenda..

Nataka nikwambie nakumiss sana na nakupendaa sana.. Kama itatokea Mungu akasema nichague mwanaume wa kuwa nae ningekuchagua wewe mara 100

Nakusubirii umalize ujana tuwe wote pamoja

Happy valentine’s my dear Kaka mnyakyusa
It’s me your Brinn 😍
Hehehe!!!
 
Hii ni nature mwanaume akipenda sana ukawa humpendi, Iko siku ataamua kuachana na wewe. Siku akikata tamaa ndio wewe mapenzi yanarudi. Nakuhakikishia hata kama atarudi upending hautakuea kama wa mwanzo. Na kama ameshakuka utekezi chance ya kurudi ni ndogo. Kama hajapiga basi atarudi kupiga tu then asepe
 
Sio Kama hivyo ni vitu vinginee tu mkuu… I was overthinking…
 
Salaam nyingi kwenu wana jf… niliwamiss sana humu ndani

Leo bhn nimeleta confession yangu juu ya huyu Kijana nilikutana nae humu jf..

Nichukue nafasi Hii kukushukuru sana kwa kuwa na mimi katika kipindi kigumu nilichopitia.. pamoja na madhaifu yangu uliweza kunivumilia hivyohivyo.

Mara ya kwanza sikuwa na feeling’s zozote kwako.. ilikuwa nataka tu pa kupumzisha moyo ila at the end unanifanya nikakupenda kiukweli ukweli ( wanawake huwa inachukua muda mrefu kumpenda mwanaume)

Ila umeniangusha mno wakati mimi ndio nazama kwako wewe ukaibuka ukaacha tena kunipenda..

Nataka nikwambie nakumiss sana na nakupendaa sana.. Kama itatokea Mungu akasema nichague mwanaume wa kuwa nae ningekuchagua wewe mara 100

Nakusubirii umalize ujana tuwe wote pamoja

Happy valentine’s my dear Kaka mnyakyusa
It’s me your Brinn 😍
Asante sana ntakurudia tu kwa sasa nimepata mshangazi mwingine wa Tiharahei lakini ntarudi kaaa hapo hapo🤣
 
Back
Top Bottom