Wewe Mr., kwanini hunitunzi?

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,448
Reaction score
7,972
Najua uko humu, sipendi tabia yako ya kutonipa hela ya matumizi

Sawa umenipangishia hapa mjini hotel ya maana lakini hunipi hela ya matumizi na ya matembezi yangu kwenye hili jiji.

Kesho usiponipa hela ya kutosha ya matumizi narudi mkoani.

Wanaume wa JF mshaurini huyu kaka yenu basi, hanipi matumizi kila siku namwambia hanielewi au anataka nitembee kwa mguu kutoka Kimara hadi Posta?
 
Daaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…