Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iyo Ni motel, sio hotelJB motel
Haya Asprin mambo yenu ya kuimpoti toa hela tukutane na goma lako kidimbwiNajua uko humu, sipendi tabia yako ya kutonipa hela ya matumizi
Sawa umenipangishia hapa mjini hotel ya maana lakini hunipi hela ya matumizi na ya matembezi yangu kwenye hili jiji.
Kesho usiponipa hela ya kutosha ya matumizi narudi mkoani.
Wanaume wa JF mshaurini huyu kaka yenu basi, hanipi matumizi kila siku namwambia hanielewi au anataka nitembee kwa mguu kutoka Kimara hadi Posta?
Imebidi ncheke😄Maakeh hapo kwanza...😃😃
Najua uko humu, sipendi tabia yako ya kutonipa hela ya matumizi
Sawa umenipangishia hapa mjini hotel ya maana lakini hunipi hela ya matumizi na ya matembezi yangu kwenye hili jiji.
Kesho usiponipa hela ya kutosha ya matumizi narudi mkoani.
Wanaume wa JF mshaurini huyu kaka yenu basi, hanipi matumizi kila siku namwambia hanielewi au anataka nitembee kwa mguu kutoka Kimara hadi Posta?
Si kweli
Duuuh umenikumbusha mbaliHuyu na yule wa buku saba mia nane yupi ana afadhali?
Nilijua uko hotelini kumne uko gesti hausi.Najua uko humu, sipendi tabia yako ya kutonipa hela ya matumizi
Sawa umenipangishia hapa mjini hotel ya maana lakini hunipi hela ya matumizi na ya matembezi yangu kwenye hili jiji.
Kesho usiponipa hela ya kutosha ya matumizi narudi mkoani.
Wanaume wa JF mshaurini huyu kaka yenu basi, hanipi matumizi kila siku namwambia hanielewi au anataka nitembee kwa mguu kutoka Kimara hadi Posta?
Huyu lajitahidi angalau kampangishia hotel[emoji16]Huyu na yule wa buku saba mia nane yupi ana afadhali?
Hahaha hii ndoa ya jf bhana...fix fix fixKamsemehe kwa Mama ake
Samahani....Kimara hadi Posta?