Wewe Mr., kwanini hunitunzi?

Wewe Mr., kwanini hunitunzi?

Najua uko humu, sipendi tabia yako ya kutonipa hela ya matumizi

Sawa umenipangishia hapa mjini hotel ya maana lakini hunipi hela ya matumizi na ya matembezi yangu kwenye hili jiji.

Kesho usiponipa hela ya kutosha ya matumizi narudi mkoani.

Wanaume wa JF mshaurini huyu kaka yenu basi, hanipi matumizi kila siku namwambia hanielewi au anataka nitembee kwa mguu kutoka Kimara hadi Posta?
Huyu nae ni tofauti na yule wa 7800?
 
Samahani ndugu mteja wife material hawapatikani kwenye hii dunia

Jaribu sayari nyingine
 
Najua uko humu, sipendi tabia yako ya kutonipa hela ya matumizi

Sawa umenipangishia hapa mjini hotel ya maana lakini hunipi hela ya matumizi na ya matembezi yangu kwenye hili jiji.

Kesho usiponipa hela ya kutosha ya matumizi narudi mkoani.

Wanaume wa JF mshaurini huyu kaka yenu basi, hanipi matumizi kila siku namwambia hanielewi au anataka nitembee kwa mguu kutoka Kimara hadi Posta?
Tembea TU pumbavuu
 
Plz pokea Sim yangu nimekwama Sinza
 
Najua uko humu, sipendi tabia yako ya kutonipa hela ya matumizi

Sawa umenipangishia hapa mjini hotel ya maana lakini hunipi hela ya matumizi na ya matembezi yangu kwenye hili jiji.

Kesho usiponipa hela ya kutosha ya matumizi narudi mkoani.

Wanaume wa JF mshaurini huyu kaka yenu basi, hanipi matumizi kila siku namwambia hanielewi au anataka nitembee kwa mguu kutoka Kimara hadi Posta?
Humu jf hawana hela tuseme mara ngapi??
Humu unaomba hata nauli hawana.
Wao wanajua shoo za kibabe ila kingine hawana wanaomba hadi vocha wakidai mke wangu mke wangu ndio zao .
Unatuma wanasepa .
Jamii forum elewa ni wanaume hawana pesa .
Upo hotelini katafute danga akupe pesa urudi lasivyoo utapewa mimba huko huko ulipo ni wamaskini
 
Sasa tutamwambiaje na hatumjui[emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom