Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 5,994
- 8,696
Nkafikiri unamahauri akafanue kaz apaye hela kumbe akafanye kudanga tenaHumu jf hawana hela tuseme mara ngapi??
Humu unaomba hata nauli hawana.
Wao wanajua shoo za kibabe ila kingine hawana wanaomba hadi vocha wakidai mke wangu mke wangu ndio zao .
Unatuma wanasepa .
Jamii forum elewa ni wanaume hawana pesa .
Upo hotelini katafute danga akupe pesa urudi lasivyoo utapewa mimba huko huko ulipo ni wamaskini
Dah kinadada mnajiweza