Wewe Mr., kwanini hunitunzi?

Wewe Mr., kwanini hunitunzi?

Sio lazima nikuhudumie kiviiiile, kwani wekiwete..??
Alafu hii tabia ya kua kila nikikukula unakuja kuniandika humu, sio poa...☹️
Na leo sikuji hapo lodge, nitakua na familia yangu na ukiona vipi bora urudi tu mkoani.
 
Najua uko humu, sipendi tabia yako ya kutonipa hela ya matumizi

Sawa umenipangishia hapa mjini hotel ya maana lakini hunipi hela ya matumizi na ya matembezi yangu kwenye hili jiji.

Kesho usiponipa hela ya kutosha ya matumizi narudi mkoani.

Wanaume wa JF mshaurini huyu kaka yenu basi, hanipi matumizi kila siku namwambia hanielewi au anataka nitembee kwa mguu kutoka Kimara hadi Posta?
Haya Asprin mambo yenu ya kuimpoti toa hela tukutane na goma lako kidimbwi
 
Acha kuuza uchi tafuta kazi ya kufanya.
Najua uko humu, sipendi tabia yako ya kutonipa hela ya matumizi

Sawa umenipangishia hapa mjini hotel ya maana lakini hunipi hela ya matumizi na ya matembezi yangu kwenye hili jiji.

Kesho usiponipa hela ya kutosha ya matumizi narudi mkoani.

Wanaume wa JF mshaurini huyu kaka yenu basi, hanipi matumizi kila siku namwambia hanielewi au anataka nitembee kwa mguu kutoka Kimara hadi Posta?
 
Najua uko humu, sipendi tabia yako ya kutonipa hela ya matumizi

Sawa umenipangishia hapa mjini hotel ya maana lakini hunipi hela ya matumizi na ya matembezi yangu kwenye hili jiji.

Kesho usiponipa hela ya kutosha ya matumizi narudi mkoani.

Wanaume wa JF mshaurini huyu kaka yenu basi, hanipi matumizi kila siku namwambia hanielewi au anataka nitembee kwa mguu kutoka Kimara hadi Posta?
Nilijua uko hotelini kumne uko gesti hausi.
Kimara hakunaga hotel acha kutania hotel
 
Back
Top Bottom