sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Ni saa 5;50 tarehe 26/08/2022.
Kichwa Cha habari kinajieleza kinatutaka Kila kijana wa kitanzania, mtu mzima wa Tanzania, ambao wote tupo nje ya mfumo WA utawala tunapata picha gani ya maisha ya familia za watawala wetu?je sisi tunayaishi maisha hayo?
Wakati mtoto wa Waziri anagonga magari ya watu akiwa amelewa chakali, usku wa manane wewe ndugu yangu unagongwa na baiskeli huko Kijijini ukiwa unatoka shamba kulima.
Wakati mtoto wa mbunge akifia kwenye swimming pool akiwa amelewa chakali maji yakamzidia na kumuua, wewe mwanao analiwaa na mamba akiwa anavuka mto kwenda shule
Haya matukio mawaili nataka yawafikirishe nyie watawaliwa na mtambue hizi ni Kodi zenu na tozo ndo zonazotumbuliwa hivi uonavyo
Muhimu Kila mmoja atafakari achukue hatua.