Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ubinadamu tu.Kila nafsi ina ubora,changamoto na harakati zake.Ukitaka kila mtu awe perfect ni kujidanganya bila malipo.Ni saa 5;50 tarehe 26/08/2022.
Kichwa Cha habari kinajieleza kinatutaka Kila kijana wa kitanzania, mtu mzima wa Tanzania, ambao wote tupo nje ya mfumo WA utawala tunapata picha gani ya maisha ya familia za watawala wetu?je sisi tunayaishi maisha hayo?
Wakati mtoto wa Waziri anagonga magari ya watu akiwa amelewa chakali, usku wa manane wewe ndugu yangu unagongwa na baiskeli huko Kijijini ukiwa unatoka shamba kulima.
Wakati mtoto wa mbunge akifia kwenye swimming pool akiwa amelewa chakali maji yakamzidia na kumuua, wewe mwanao analiwaa na mamba akiwa anavuka mto kwenda shule
Haya matukio mawaili nataka yawafikirishe nyie watawaliwa na mtambue hizi ni Kodi zenu na tozo ndo zonazotumbuliwa hivi uonavyo
Muhimu Kila mmoja atafakari achukue hatua.
Kama naomba upunguZe rangi ya maandishi yananiumiza macho Mimi hapa sifi Leo popote ulipo babangu kubabakoWewe kama ulidanganywa binadamu wote ni sawa shauri lako. Wakati baba wa wenzako wanasoma usiku na mchana na kufanya home works nyingi, na kupitia mikiki mikiki mingi ya kutafuta uhuru, wewe baba yako alikuwa akiota moto na kuchoma mahindi, na mama yako akiwa anacheza mduara na vigodoro. Sasa haya ndiyo malipo yako kaka....Tulia basi sindano ikuingie.
Wewe ndo umeelewa msingi wa Andiko langu wengine wote ni maboya tu hawajui hao vijana wanakula tozo zetu mlio komenti ujinga wenu hapo juu nyoteeee........ ZenuDhuluma huambatana na laana. Tozo ni dhuluma kwa wanyonge. Tozo inamuumiza zaidi mtu wa chini
Duuh ukweli mchungu.Mtoto wa maskini Konde boy anahonga malaya Range Rover, hebu tuendelee kutafakari.
hahahahahaMtoto wa maskini Konde boy anahonga malaya Range Rover, hebu tuendelee kutafakari.
Hivi viongozi wa bongo ni wasomi? hasa hao wabunge ?Wewe kama ulidanganywa binadamu wote ni sawa shauri lako. Wakati baba wa wenzako wanasoma usiku na mchana na kufanya home works nyingi, na kupitia mikiki mikiki mingi ya kutafuta uhuru, wewe baba yako alikuwa akiota moto na kuchoma mahindi, na mama yako akiwa anacheza mduara na vigodoro. Sasa haya ndiyo malipo yako kaka....Tulia basi sindano ikuingie.
Halafu wakati huo huo mwananchi wa kawaida unaongezewa kodi na tozo za kila aina!!Ni saa 5;50 tarehe 26/08/2022.
Kichwa Cha habari kinajieleza kinatutaka Kila kijana wa kitanzania, mtu mzima wa Tanzania, ambao wote tupo nje ya mfumo WA utawala tunapata picha gani ya maisha ya familia za watawala wetu?je sisi tunayaishi maisha hayo?
Wakati mtoto wa Waziri anagonga magari ya watu akiwa amelewa chakali, usku wa manane wewe ndugu yangu unagongwa na baiskeli huko Kijijini ukiwa unatoka shamba kulima.
Wakati mtoto wa mbunge akifia kwenye swimming pool akiwa amelewa chakali maji yakamzidia na kumuua, wewe mwanao analiwaa na mamba akiwa anavuka mto kwenda shule
Haya matukio mawaili nataka yawafikirishe nyie watawaliwa na mtambue hizi ni Kodi zenu na tozo ndo zonazotumbuliwa hivi uonavyo
Muhimu Kila mmoja atafakari achukue hatua.
Aliefariki ndani ya swimming pool ni mkenya,familia yake imeomba msaada wa kuurudisha mwili nchini wao hawana pesa au unaongelea yupi aliyefia swimming pool?